Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,512
- 94,649
Sawa mkuuChangia utakayo ona inafaa kuchangia
Sawa mkuuChangia utakayo ona inafaa kuchangia
Njema kabisa, hofu kwako...Habari yako mkuu..
Upo ankali..jj, nilijua tu nawewe lazima utarudi, krb sanaHahahahaha
Huku kwema mvuviNzuri mkulima..
Nipo, nimeshahitimu masomo yangu na sasa nimerejea nikiwa na nguvu zoteUpo ankali..jj, nilijua tu nawewe lazima utarudi, krb sana
Nzuri kabisaNjema Shem habari za ujenzi wa taifa
Mm mzima bibie...Njema kabisa, hofu kwako...
NilikuaHahaaaaa Naww je?
Akijibu nishtueHahaaaaa Naww je?
Leo migebuka iko full vp nikutumie..Huku kwema mvuvi
Yeap, hapa anavuta pumzi akalale kwaari ya maandalizi ya jioniKumbe ni kaka afande
Sasa hv jeNilikua
Pamoja shemejiNzuri kabisa
Tetramelyz niajeNi poa popo, upo??
Kwa sasa?Nilikua
Hongera jj. Tunafurahi kuwa na wanafamily wasomiNipo, nimeshahitimu masomo yangu na sasa nimerejea nikiwa na nguvu zote
Vp kaka..Tetramelyz niaje
AiseeNimechoropoka kidogo ..jf ni kama kidonda ndugu ukiupata ugonjwa wake kupona ni kazi sana
Hongera zake kwa kuto kutumbuliwa na mambaYeap, hapa anavuta pumzi akalale kwaari ya maandalizi ya jioni