Makapuku Forum

Makapuku Forum

Chelsea mpaka rahaaaa hongereni sana mlistahili

yanga mbona hamjashangilia hivi jamaan mlikua hamjiamini au sbbu ya rufaa ya point 3 za fifa tunazosubili

Auntie vipi mambo! Nami nimefurahi sana na nimeliangalia game la leo la Chelsea.
Mzima lakini

99b187022cd28e6db1ecbee11a402a89
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom