Shikamoo Makapuku
Nategemea hapo ulipo haujambo
Huku nyumbani bibi khajambo lakini aliniambia nikujulishe kuhusu ile kitu yake ya siku zote kama imepanda bei
Zamani aliipate kwa anko deby kwa tsh 100 lakini tokea waseme no viroba imepanda kweli
Nimejitahidi kuzunguka mitaa ya kina shemera nako tabu nimekosa
Nimejaribu kumpigia anty Shinune kasema eti nae kaokoka hakika kama jinsi ujuavyo bila kupatikaña hiyo kitu sidhani kama bibi kesho ataamka
Bibi kasema ni kueleze wewe anko Kapuku kwa kuwa anakuaminia hasa zile styre zako zakuchomekea suruali yenye viraka huku ukitembea kwa madaha mfano wa ile band ya Tarumbeta anaamini kama utakasa hakika huwezi kikosa kabisa....
Basi kama utapata usije kuleta hadharani nakuomba ufunge vilivyo ili watoto wasije kungamua kilicho chonde chonde usiache sory....
Wako Akupendae
Anko Zoba...