Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Asante kwa nukuuSina la ziada katika Nukuu ya leo..
Tukutane panapo majaliwa katika sehemu ya 3...
Don't miss it..
Asante kwa nukuuSina la ziada katika Nukuu ya leo..
Tukutane panapo majaliwa katika sehemu ya 3...
Don't miss it..
pole ndugu
Msiwe na presha huu ni mwezi sasaPole asee Jombaa, vipi madaktari wanasemaje?
Happy Birthday Naomi1970 - Naomi Campbell anazaliwa.
Mwanamitindo wa kiingereza.
Aliwahi kuingia katika skendo ya kuhongwa Almasi za Damu za Sierra Leone na Rais wa wakati huo Charles Taylor.
Asante ankali kwa magazetiSina la ziada kutoka magazetini
Kwa udhamini mnono wa CR7
Tukutane tena kesho
Jumatatu njema
Don't beMama mchuchu!
Uko na Obe ama na werrason?
I am getting confused!
Asante sana mwenyekitiLeo katika Historia:
Sina la ziada niwatakie siku njema.

Pole sana BitozJana hali ilikuwa tete
Bahati nzuri my sister ni daktari bingwa ndo anayenitibu hivyo jana kanichoma sindano ambayo imesaidia kunituliza
Hivyo leo najisikia OK kama siku zote ninazokuwepo hapa japo naumwa ila ni kawaida tu
Changamoto ya maisha
............
ahhhah hawakuchanganyi sema binamu anataka kuvunja kwa nguvu ndoa ya mama mchuchu na mukongo hakubali kama amekataliwaUtaniambia haka kamchezo kataishia wapi..
Obe Vs BH Vs Werrason
Mimi naona wananichanganya tuu
Yupo na mukongoMama mchuchu!
Uko na Obe ama na werrason?
I am getting confused!
Pole sana Mkuu Bitoz,Mungu akupe uponyaji haraka,Mungu akutie nguvu upo hospitali au nyumbani?poleeMsiwe na presha huu ni mwezi sasa
Nikiwa na ulazima/kitu muhimu nitawaupdate
Kuwa pamoja nanyi hapa pananipunguzia upweke
Mungu awabariki wote
...........
Goodmorning Madam dear.....have a fruitful week![]()

1970 - Naomi Campbell anazaliwa.
Mwanamitindo wa kiingereza.
Aliwahi kuingia katika skendo ya kuhongwa Almasi za Damu za Sierra Leone na Rais wa wakati huo Charles Taylor.
Nahisi sio kweli huoni hataki kunijibu direct...Yupo na mukongo
Hivi alikuwa na scandal na rais Charles Taylor wa liberia eeh?![]()
Anasifika kwa kupiga picha za utupu![]()
.......
Pole sana bitozWadau leo nimeamka nafuu kidogo
Hivyo nimeona nijumuike nanyi
Siku zote nakuwepo hapa ila naumwa takribani mwezi mmoja sasa
In short nilipataga ajali
........
Kaka yako Mndali hajaonekana siku ya tatu leoKaribu sana
Dada habari yakoPole sana Bitoz