Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Pamoja papaaSafi Mndali,
Pamoja papaaSafi Mndali,
Hiyo ya Venezuela V German imenisuprizeWORLD CUP U20
![]()
Njema sanaPoa shem hbr
1924 - Zelmar Michelini anazaliwa.
1976 - Zelmar Michelini anafariki Dunia.
Alikuwa ni mwandishi wa habari kutoka nchini Uruguay.
Aliuwawa kutokana na misimamo yake katika kazi yake.
Ni mmoja kati ya watu maarufu wachache kuzaliwa na kufariki tarehe na mwezi unaofanana.

Hujamboinabidi nicheke tu Transcend anasema namchanganya sijui anajua lee anashindwa kuropoka mambo yake
Napita tuu hapaDada hivi kule nilipokuita love connect mbona haujaja aisee wadada wa jf wanamgombania mwanaume wao halaf ni mume wa mtu sasa yaan ni ujinga na upumbavu hilo lijanaume huko alipo anawacheka tu
halaf ukipata mda nipigie kwenye halotel nikuchekeshe ufe
Eti kivuruge...Mbona hupatikani we Kivuruge wa Lee
8. Fainali ya kombe la Dunia ilikiwa ni Argentina Vs Ujerumani.
Ambapo ilikuwa ni marudio ya fainali ya mwaka 1986 iliyofanyika Mexico.
Safari hii Ujerumani alilipa kisasi kwa kuifunga Argentina bao 1-0 na kutwaa ubingwa huo.
Hayi ni mambo kadhaa ya kukumbukwa ambayo niliona nishee nanyi.
PapaaBaba paroko kwema?Shukrani mkuu shululu kwa magazeti Ubarikiwe
BTW Sakayo si mwana bali ni mke halali wa T
Kipenzi cha waspain hiki1981 - Iker Casillas anazaliwa.
Golikipa wa Porto na timu ya taifa ya Spain.
Moja ya magoli kipa bora kuwahi kucheza soka.
Ameshinda kila taji katika maisha yake ya kucheza kabumbu.
BabeHaya bwana
See you around....
Mr T mzimaBabe
nyagei avatar yako na picha ulizoziweka leo yani ime fit vema kweli!
AtakujaHabari za muda wadau, Sweetiepie ukiweka muziki nistue
Kwema mkuu, za weekendWakuu kwema...