Makapuku Forum

Makapuku Forum

1989 - Serikali ya China yaamua kutumia nguvu za Kijeshi dhidi ya maandamano ya Wanafunzi nchini humo waliokuwa wanapinga ukandamizwaji wa Demokrasia, kudorora kwa thamani ya Pesa yao, Undugu katika ajira, Rushwa na huduma mbovu za kijamii.

Matokeo yake watu takribani 2500 walipoyeza Maisha katika kile kilichokuja kujulikana kama Tiananmen square massacre.
e0d58b83974fa67444708c9c35956566.jpg
7658a35e2357d93ded1f6be73c1970f4.jpg
d5ed8cd10b9932bdd7f6e203432afedd.jpg

Bashite atamahauri hivyo Sizonje pindi watu wakiandamana
........
 
1924 - Zelmar Michelini anazaliwa.

1976 - Zelmar Michelini anafariki Dunia.

Alikuwa ni mwandishi wa habari kutoka nchini Uruguay.

Aliuwawa kutokana na misimamo yake katika kazi yake.

Ni mmoja kati ya watu maarufu wachache kuzaliwa na kufariki tarehe na mwezi unaofanana.
 
1952 - Roger Milla anazaliwa.

Straika wa zamani wa timu ya taifa ya Cameroon.

Baada ya Cameroon kufuzu kombe la dunia mwaka 1990, Milla aliombwa na Rais wa Cameroon ashiriki michuano hiyo wakati huo alikuwa amestaafu kabumbu. Akakubali ombi la Rais.

Akaenda world cup ya mwaka 1990 na akawa mmoja kati ya mastaa wa michuano hiyo pale alipowafunga Colombia na kwenda kushangilia kwenye kibendera kwa style ya upekee.
HBD Roger Milla, pia wachezeji walioongezwa kwenye hatua za mwisho na timu zao ndio walionesha uwezo mkubwa
 
1952 - Roger Milla anazaliwa.

Straika wa zamani wa timu ya taifa ya Cameroon.

Baada ya Cameroon kufuzu kombe la dunia mwaka 1990, Milla aliombwa na Rais wa Cameroon ashiriki michuano hiyo wakati huo alikuwa amestaafu kabumbu. Akakubali ombi la Rais.

Akaenda world cup ya mwaka 1990 na akawa mmoja kati ya mastaa wa michuano hiyo pale alipowafunga Colombia na kwenda kushangilia kwenye kibendera kwa style ya upekee.
405e22a6d42671e46f46dc86c15694a7.jpg
9d333d942db09db8a52a9f230ba135c2.jpg
f88cd083603b6580b3c45c29411ee8e6.jpg
Sio tu ustaa bali pia aliweka rekodi mchezaji mzee kufunga goli World Cup akiwa na umri wa miaka 38
......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom