Makapuku Forum

Makapuku Forum

b9e700237c5709b5aa31dc8e55f92dc2.jpg
Kabisa
 
Yapo sana tu

Sawa mkuu dada sijamwona yuko wapi

Ha hahhahaha, acha woga shangaziangu, unadhani hata sisi tunazitaka hizidhambi basi!?

Dhambi zenyewe tu ndo, mfano mimi kwa BH, dhambi zinanipenda, tena sana utadhani huwa nazitolea sadaka

Pole sana Shunie

lee si hayupo inakuchanganyaje sasa

Muwekee mwenzako dhana kwamba hatakumwaga daima
Morning all
 
Dada hivi kule nilipokuita love connect mbona haujaja aisee wadada wa jf wanamgombania mwanaume wao halaf ni mume wa mtu sasa yaan ni ujinga na upumbavu hilo lijanaume huko alipo anawacheka tu

halaf ukipata mda nipigie kwenye halotel nikuchekeshe ufe
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom