Makapuku Forum

Makapuku Forum

1948 - Chiang Kai-shek anachaguliwa kuwa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Watu wa China.
33be5be81b1393a439a72ffc7026d98b.jpg
7622ba75bf0ce9d83804c2bfcf890285.jpg
Siku zote nilifikiri Rais wa kwanza ni Mao
.......
 
1989 - Serikali ya China yaamua kutumia nguvu za Kijeshi dhidi ya maandamano ya Wanafunzi nchini humo waliokuwa wanapinga ukandamizwaji wa Demokrasia, kudorora kwa thamani ya Pesa yao, Undugu katika ajira, Rushwa na huduma mbovu za kijamii.

Matokeo yake watu takribani 2500 walipoyeza Maisha katika kile kilichokuja kujulikana kama Tiananmen square massacre.
 
1952 - Roger Milla anazaliwa.

Straika wa zamani wa timu ya taifa ya Cameroon.

Baada ya Cameroon kufuzu kombe la dunia mwaka 1990, Milla aliombwa na Rais wa Cameroon ashiriki michuano hiyo wakati huo alikuwa amestaafu kabumbu. Akakubali ombi la Rais.

Akaenda world cup ya mwaka 1990 na akawa mmoja kati ya mastaa wa michuano hiyo pale alipowafunga Colombia na kwenda kushangilia kwenye kibendera kwa style ya upekee.
 
1971 - Chuknagar Massacre: Majeshi ya Pakistani yaua takribani watu 8,000 ambao wengi wao ni Wahindu katika eneobla Chuknagar wakati wa Vita vya ukombozi wa Bangladesh.
ab2304896a45e448376bc37b26ad01f1.jpg
7292d1aed3b4967369d20827741436a6.jpg
Niliwahi kuielezea hapa kuwa ni miongoni mwa vita fupi kuwahi kutokea duniani
Kiuhalisia ilikuwa ni vita baina ya India na Pakistan ambapo mwisho wa siku ikasababisha Bangladesh kupata Uhuru wake
........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom