Makapuku Forum

Makapuku Forum

1940 - Mauaji ya Wayahudi chini ya utawala wa Hitler ( The Holocaust ) : Wafungwa wa kwanza ( wayahudi ) waanza kuwasili katika gereza jipya la Auschwitz huko Ujerumani.
ffd3e85a83ac55465331f698184e06aa.jpg
ee1d718a9640a58d52e8780c3547ae29.jpg
bdce0d54ce0e3ccb339cfa9356a35c08.jpg
Japokuwa ni untama lakini aliona mbali
Jinsi Wayahudi walivyo na IQ pengine Hii leo wangekuwa ni Taifa lenye nguvu na tishio kama Urusi
........
 
1969 - Abdallah Kassim Hanga anapelekwa Zanzibar kujibu mashtaka yake ua Uhani dhidi ya Serikali ya Rais Abeid Amani Karume.

Hanga alikuwa ni mmoja kati ya Wanamapinduzi wa Zanzibar walioshiriki kikamikifu katika kuondoa utawala dhalimu wa Mwarabu visiwani humo.

Baada ya mapinduzi akawa Waziri Mkuu wa kwanza wa Zanzibar kwa miezi mitatu kabla ya kukosana na Karume na kuhamishiwa Bara ambapo baadae akenda kuwa Balozi.

Baada ya tuhuma za Uhaini, kujaribu kupindua serikali ya Karume akarudishwa nyumbani na kuwekwa kizuizini Tz Bara.

Karume akamuimba Nyerere apelekewe Hanga ili akajibu tuhuma zake.

Nyerere akakubali kumpeleka Kassim Hanga Zanziba, ambapo hakuwahi kupandishwa mahakamani waka hakuwahi kuonekana tena mpaka leo. Aliuwawa na kuzikwa kusikojulikana.
What goes around comes around
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom