Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
sante mke mwee usiache kuniombeaPole,upone haraka
sante mke mwee usiache kuniombeaPole,upone haraka
Hata mimi mkuuHiyo ya Venezuela V German imenisuprize
Nilichoka tu shem wane, sijatekwa labda cuzoo wako....
All the time God is good
we ni mwehu ebu niacheni nipumzike niliona mnanichokoza na cuzoo alikua ananisikilizia tu
Ongeraanamshkuru Mungu naendelea vizuri
ahhahha basi tu ulivyosalimia nimekumbuka kituVipi shemela wangu, mbona unachaka.
asanteOngeraa
![]()
![]()
ebwana hii kiboko, kila nikikicheki iko kidogi ni kucheka
jinsi alivyoweka mikono na sura yake ukiongeza hayo maneno ni balaa tupuSo niendelee tu na ucheshi mkuu au washauri vipi?nyagei avatar yako na picha ulizoziweka leo yani ime fit vema kweli!
Kwema katibuWakuu kwema...
Unafanya nini?Nisamehe tu Dada kuna sehemu nilikuepo
Utafiti mpya huu?Mrisho Gambo na Bashite ni Wakuu wa mikoa waliotajwa sana kati ya mwezi January hadi sasa mwaka huu.
nafanya nini wapiUnafanya nini?
Mkuu wewe ni KE au MeNimewamisss ajeee. Jioni njema makapuku wenzangu
Huo ni mubashara kabisa bila kujali data nyingi za kujiridhishaUtafiti mpya huu?
![]()
we ni mwehu ebu niacheni nipumzike niliona mnanichokoza na cuzoo alikua ananisikilizia tu
Huko ulikokuwa?nafanya nini wapi
Tupe data kama za kwa Mengi?Huo ni mubashara kabisa bila kujali data nyingi za kujiridhisha