Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,255
Mkuu Bitoz kwenye kombe la Dunia la mwaka 1990 pale nchini Italy, kuna matukio mengi ya kukumbukwa japo Kombe la Dunia lile wataalam wanasema ndio michuani mibovu ya kombe la Dunia kwa kuwa timu nyingi zilienda kupaki basi na kufanya mpira usiwe wa burudani bali wa mbinu zaidi na haishangazi kuona magoli yaliyofungwa yalikuwa machache sana.
Baadhi ya matukio ya kukumbukwa ni kama yafuatayo.
Baadhi ya matukio ya kukumbukwa ni kama yafuatayo.