Ndo maana mimi nikaamua kumuhishimu Lee.... Imagine tungenatana ingekuwaje?....... Morning Shunie.hili tego la nyoka kiboko
Sante shemela kwa magazeti ubarikiwe sanaSina la ziada kutoka magazetini kwa leo, kwa udhamini mnono wa Sakayo mwana wa T,
Jumamos njema
Morning shemelaDada
Mh mzee wa kungoaNdo maana mimi nikaamua kumuhishimu Lee.... Imagine tungenatana ingekuwaje?....... Morning Shunie.
Pamoja sana shemela, umeamkaje lakiniSante shemela kwa magazeti ubarikiwe sana
Ndo maana mimi nikaamua kumuhishimu Lee.... Imagine tungenatana ingekuwaje?....... Morning Shunie.

Namshkuru Mungu shemela wangu kidogo sijambo sijui wewePamoja sana shemela, umeamkaje lakini
Au unaonaje?Mh mzee wa kungoa
kuonaje nini tenaAu unaonaje?
Mbona umerudishia avatar tena.... Au mwenyewe ndo kakataa na avatar yake.kuonaje nini tena
inabidi nicheke tu Transcend anasema namchanganya sijui anajua lee anashindwa kuropoka mambo yakeMbona umerudishia avatar tena.... Au mwenyewe ndo kakataa na avatar yake.
Kwa hio umempa nafasi aropokeinabidi nicheke tu Transcend anasema namchanganya sijui anajua lee anashindwa kuropoka mambo yake
jamaan nafanyaje sasa basi acha nitairudishaKwa hio umempa nafasi aropoke
Uwe na msimamojamaan nafanyaje sasa basi acha nitairudisha
Asante sanaMAGAZETI YA LEO YATAWAIJIA HIVI PUNDE

mm nina msimamo sana mzee wa kungoa hii ya kutoa avatar ni bas tu nimeamua mwenyewe na hata sasa hivi nikitaka naweza rudisha ila nilikujibu vile kuonyesha tu mwenye avatar yake hajaniambia nitoeUwe na msimamo
mama mchuchu shikamoo umeamkaje mamaAsante sana![]()
Sawa bhanamm nina msimamo sana mzee wa kungoa hii ya kutoa avatar ni bas tu nimeamua mwenyewe na hata sasa hivi nikitaka naweza rudisha ila nilikujibu vile kuonyesha tu mwenye avatar yake hajaniambia nitoe