Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Binamu yangu shikamooBinafsi ninaendelea vizuri.
Binamu yangu shikamooBinafsi ninaendelea vizuri.
shetani ndugu yangu(joke)...umejuaje? una undugu na shetani au ni mfuasi?
dooh!Ana tatizo la kifafa linamsumbua. Anazimika mara kwa mara. Mungu Amsaidie apone !
Furahiday; Muziki, Kula, Kunywa na Kufurahika.
Ni siku nzuri katika wiki, wengine huifanya kuwa nusu siku na wingine japo ni siku kama siku nyingine lakini hii ni Furahiday.
Tunafunga kazi, tunafunga ripoti, tunakusanya assignment na kupanga plans za kufanya tunapopumzika. Katika kufanya mipango, nami nina mipango yangu ambayo haiwezi kuwa na sawa na yako. Ila tukikutana hapa mida hii unaujua kabisa mpango ninaouleta hapa, muziki. Na hasa sauti ya gitaa katika muziki.
Kizuri zaidi mdau Sweetiepie kaahidi kuanza kuporomosha nyimbo siku za wikend ikihusisha mwisho wa mwisho wa wiki. Tusubiri.
Jioni hii hebu tubakie hapa hapa Afrika na kuwatizama wapigaji gitaa maarufu wa miziki ya bendi na hata 'binafsi'. Na tunamwangalia gwiji kweli kweli aliyekubalika na wote waongea kiingereza, kifaransa, kiswahili na ligha nyingine nyingi za kiafrika. Huyu ni Francois Luambo Luanzo Makiadi almaarufu Franco.
Kwa tuliokuwa tunakuwa miaka ya 90 tunakumbuka namna nyimbo za gwiji huyu zilivyotawala vituo vya radio nchini. wimbo wa Mario kwa mfano, ulikuwa na sifa kubwa hapa nchini kama ilivyo kwa karibu ukanda wote wa kusini mwa Afrika.
Franco anajulikana pia kwa kuwa na nyimbo ndefu sana, wimbo Kimpa Kisangameni unapanda mwendo kasi toka Masasi kwenda Lindi na ukifika Mnazi Mmmoja ndo kwanza korasi ya kwanza ndo inaishi na wimbo unakorasi zinazofuatana, Kulwa, Dotto na Shija.
Alitoa album zaidi ya 150 na nyimbo alizotunga yeye ziko kama 1000+. Huyu ndiye Franco rafiki wa iliyokuwa Zaire ya Mobutu.
Alifariki mwaka 1989 na serikali ilitangaza siku nne za maombolezo huku kituo cha redio ya taifa kikipiga nyimbo zake asubuhi hadi jioni.
Hapa tumwangalie na wimbo wake Mario, mwingine aliyeimba nanye ni almaarufu Madillu System, lakini kikubwa sikiza alivyokuwa akidonoa gitaa lake kwa mtindo wa Afro-Cuban , kupanda na kushuka kwa tone ya nyuzi.
Wikend Njema Makapuku
Sijakuelewa ujue umemaanisha niniSasa kumbe mnajuana kabisa sasa mimi kazi yangu nini![]()
Sawamimi mweusii
Binamu yangu shikamoo
mbona mapema leoUsiku mwema Makapuku wenzangu
kweli kabisa! manake kwenye nyimbo zake asahau kumsifu shetaniametawaliwa na shetani
kiasi kaka za kwakoDada mzima
niliwamiss sana binamu nilikua naumwa vipi unaendeleaje mama mchuchu vipi anaendeleajeAunt yangu utanikondesha roho hakyanani, kila nikikugoogle naambiwa not richabo, link umekata, pm umesiliba yaani basi tu nikawa nakukumbuka kimoyomoyo. U khali gani wangu?
SN (serious note): Tulikumiss humu, na mimi nilikumiss zaidi
Binamu yangu shikamoo
Ameen kakaPole Dada kwa kuumwa mungu akuponye

kweli kabisa! manake kwenye nyimbo zake asahau kumsifu shetani
Shangazi yangu nawe bhana, Ijumaa huwa hatuamkia hizi salam, ni kupeana Hi tu na kuendelea kuangusha moja moja


binamu nilikumiss mambo kama haya jaman
eehkweli kabisa! manake kwenye nyimbo zake asahau kumsifu shetani
hamna sijampa mtu yeyote taarifa sakayo tu alinipigia bada ya kuona hanioni humu akakuta naumwaNamsoma Mndali ndanyelakakomu anasema ulikuwa unaumwa, jameni!!1 Kwanini mimi nakuwa wa mwisho kupata habari humu ndani lakini?
Huku njema pole dadangukiasi kaka za kwako
usikute mjumba mkubwa kama huu wanaishi watu watatu tu ndani!4/Curtis James Jackson III![]()
Nani asiyemfahamu huyu Mswahili?![]()
Anajiita 50 Cent ana umri wa miaka 38
Utotoni alikulia katika umaskini uliotopea ikiwemo kulelewa na bibi yake.
Anewahi kutandikwa risasi lakini akapona.
Ana dili kibao za kuvutia mpunga
Ana utajiri wa USD 240 Milioni
.......
niliwamiss sana binamu nilikua naumwa vipi unaendeleaje mama mchuchu vipi anaendeleaje