Uwe na wakati mwemabwanabwaaanaaaahhhh
Ubarikiwe1/Andre Romelle Young![]()
Huyu jamaa huko kwa Trump nu kama Mkubwa Fella wasanii kibao wamepitia kwake![]()
Ni prodyuza abayefahamika kwa jina la Dr Dre jamaa kweli ni daktari wa muziki
Ana umri wa miaka 49
Anamiliki studio na vitega uchumi kibao
Ana utajiri wa USD 790 Milioni
.
.
.
.
.
.
.Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane Jumatatu
Mwisho
..............
duuh! hili lijamaa lipo kwenye kumi bora10/Dwayne Michael Carter Jr![]()
Ana umri wa miaka 31![]()
Anajulikana zaidi km Lil Wayne hakuna mtu anayefuatilia muziki wa mamtoni asiyemfahamu
Anaingiza mkwanja mrefu kutokana na kazi yake ya usanii pia anajishughulisha na biashara mbalimbali mfano mavazi n.k
Anajadiriwa kuwa na utajoli wa USD 100 milioni
.....
Hahaaabwanabwaaanaaaahhhh
habari nzuri tu mkuuHabari za humu ndani nimewamisi sana
Sinaga tabia ya kurundika vitu
Kila mwaka naelekea kijijini kwetu huko lazima niwaachie nguo,viatu n.k
Samtaimu naweza nikaendana sendo pea moja na vaitu pea moja tu hapo lazima niwaachie ama sendo au vitu
Kijijini kuna dhiki balaa wapo ambao kuvaa chupi tu ni anasa
Umeandika naneno mazito sana
....

Bandiko zuri changamshi as usual. Wengi hudhani kwamba Mamou pengine ndiyo wimbo wake bora kabisa kisanaa. Vocals zake na Madilu wakijibizana zinaweza kukutia simanzi na kukusisimua hata kama hujui kinachoimbwa. Mwanafunzi mmoja wa Musicology alikuwa anadai hivyo katika tasnifu yake ya Masters katika Chuo Kikuu kimoja huko Ujerumani. Nilishindwa kufuatilia hoja zake za kitaalamu kwa sababu sijui cho chote kuhusu taaluma ya muziki.

Furahiday; Muziki, Kula, Kunywa na Kufurahika.
Ni siku nzuri katika wiki, wengine huifanya kuwa nusu siku na wingine japo ni siku kama siku nyingine lakini hii ni Furahiday.
Tunafunga kazi, tunafunga ripoti, tunakusanya assignment na kupanga plans za kufanya tunapopumzika. Katika kufanya mipango, nami nina mipango yangu ambayo haiwezi kuwa na sawa na yako. Ila tukikutana hapa mida hii unaujua kabisa mpango ninaouleta hapa, muziki. Na hasa sauti ya gitaa katika muziki.
Kizuri zaidi mdau Sweetiepie kaahidi kuanza kuporomosha nyimbo siku za wikend ikihusisha mwisho wa mwisho wa wiki. Tusubiri.
Jioni hii hebu tubakie hapa hapa Afrika na kuwatizama wapigaji gitaa maarufu wa miziki ya bendi na hata 'binafsi'. Na tunamwangalia gwiji kweli kweli aliyekubalika na wote waongea kiingereza, kifaransa, kiswahili na ligha nyingine nyingi za kiafrika. Huyu ni Francois Luambo Luanzo Makiadi almaarufu Franco.
Kwa tuliokuwa tunakuwa miaka ya 90 tunakumbuka namna nyimbo za gwiji huyu zilivyotawala vituo vya radio nchini. wimbo wa Mario kwa mfano, ulikuwa na sifa kubwa hapa nchini kama ilivyo kwa karibu ukanda wote wa kusini mwa Afrika.
Franco anajulikana pia kwa kuwa na nyimbo ndefu sana, wimbo Kimpa Kisangameni unapanda mwendo kasi toka Masasi kwenda Lindi na ukifika Mnazi Mmmoja ndo kwanza korasi ya kwanza ndo inaishi na wimbo unakorasi zinazofuatana, Kulwa, Dotto na Shija.
Alitoa album zaidi ya 150 na nyimbo alizotunga yeye ziko kama 1000+. Huyu ndiye Franco rafiki wa iliyokuwa Zaire ya Mobutu.
Alifariki mwaka 1989 na serikali ilitangaza siku nne za maombolezo huku kituo cha redio ya taifa kikipiga nyimbo zake asubuhi hadi jioni.
Hapa tumwangalie na wimbo wake Mario, mwingine aliyeimba nanye ni almaarufu Madillu System, lakini kikubwa sikiza alivyokuwa akidonoa gitaa lake kwa mtindo wa Afro-Cuban , kupanda na kushuka kwa tone ya nyuzi.
Wikend Njema Makapuku
mama mchuchuUbarikiwe
Namshukuru mungu mi niko poa mkuu habari za hapo ulipohabari nzuri tu mkuu
asante mkuuUwe na wakati mwema
huku kwema mkuu!Namshukuru mungu mi niko poa mkuu habari za hapo ulipo
Namkubali sana huyu Mzee japo sijafanikiwa kuishi zama zake. Kuna kibao chake aliimba kwa Kiswahili na Sam Mangwana pia nakikubali mno.
pole mkuuNiko poa mkuu
Ila uchovu tu
Nakukimbieni tutaonana mornie
hahahhh atakua amempata aliyekua anamtafutazipo hapo kwa udhamini wako
kuhusu isha naona kashapata yule aliyekuwa akimtafuta kule tulipomkuta
tangu anipe cha mbavu sijamuona mpk leo na sio kawaida yake ilikuwa haipiti wiki lazima aje kusalimia, labda yupo kwenye fungate
Dada angu mieHahaha
Yaani wewe