Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,798
Mkuu mi nimeona hii kwa tamosa ndo nikagundua kuwa anaumwaNamsoma Mndali ndanyelakakomu anasema ulikuwa unaumwa, jameni!!1 Kwanini mimi nakuwa wa mwisho kupata habari humu ndani lakini?