shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Kumbe yupo kwenye fungate!!!Anazingua huyo mzee wa fungate
Kasema uchaguzi mpaka 2018 mwezi wa kumiKuishi Afrika santaimu kuna raha yake
Keshaona dalili ya kushindwa Uchaguzi na usishangae hata ukipita mwaka mzima
.....
Hii ndio nitaangalia leoSpain LaLiga
Je kiporo kitaliwa leo?
![]()
Ya kumlinda Sakayo wa TIpi sasa
HahahaNakuombea usipate demu mkuu...
Ukipata demu unaweza kujiuzulu kama shedede
nilipata hii habari kwamba...
Vipi kuhusu ya Juventus na LazioHii ndio nitaangalia leo
KaribuAsante sana,
Merudi sasa.
Hahahaaaaa! Imempata shunie hiiWord SWIMMERS![]()
Cc Transcend
Cc Shunie
hahahahaaa some how yes/no...hahah! vip ulifanikisha hadhima yako ya kujiangalia kwenye vioo vya mjini
AmenAwwwwwh! Amina mkuu..
Tumepokea

KaribuAsante,
Ni mwenyeji humu ila sikuwa online kipind kirefu JF kwa ujumla...this time nimerudi for good.
Hakuna mafao kipindi hiki...mafao kwanzia 2026 hukoNa mafao hapewi, Lee ana mkwala sana
mkuu kwema
teh tehHahaha umetisha
imetulia!Ahsanteni sana tukutane usiku kwenye matokeo ya mechi za leo![]()
Mmmh Jinamizi la rambirambi linawatesa wengi.![]()
Alikuwa ni nahodha wa Rwanda"Amavubi"![]()
Kama sijakosea msimu huo kwenye dhidi ya Yanga alifunga magoli mawili
Huo ndo msimu wa mwisho Mezani Fc kuchukua ubingwa VPL
Cha kusikitisha zaidi viongozi wa Simba walikula rambirambi pia Mafisango alizikwa kimaskini huko kwao DRC
Laana ya rambirambi haitawaacha
Mimi Yanga lakini Mafisango nilikuwa namkubali ni mmoja wa kiungo bora kuwahi kucheza VPL
.......
Barikiwa Mkuu
inaonekana watawala wengi wa zamani wa Argentina walikuwa wajeda![]()
.
.
.
Shukrani kwa historia
Tukutane jioni kwenye 10 kubwa
........