Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Pheeew....afadhalUtaongezwa

Pheeew....afadhalUtaongezwa

Halafu siku hizi wanajaza magarasa halafu wanasingizia Yanga inabebwa hebu angalia jeshi la Yanga kule mbeleHakika mkuu nakuunga mkono kwa 100%.
Mafisango ni mmoja kati ya wachezaji bora wa kigeni kuwahi kucheza VPL kando ya Emmanuel Arnold Okwi, Kipre Herman Tchetche na Haruna Hakizimana Fadhili Niyonzima.
Kikosi kile cha Simba hakika kilisheheni vipaji murua kama Juma Kaseja, Haruna Moshi Shaaban Mawela Boban, Okwi, Sunzu, Juma Said Nyosso na wengineo.
R.I.P Mutesa Mafisango.
Hahaha umetishakuna kipindi nilikuwa napita hiyo njia ili nikajiangalie kwenye vile vioo kama nipo chicha au vipi....si unajua mambo kupigana vikumbo kwenye magari
Hatujambo tunamshukuru Mungu,Tuna amani tele Mungu anatutia nguvumakapuku za asubuhi!
ni imani yangu kuwa mmeamka na amani mioyoni mwenu,
Karibu sanaAmen kubwa!
ubarikiwe!
Kutaifishwa,hiyo Mali inakuwa ya serikaliBasi sawa wacha ataifishwe tu.
Then mkuu nini tofauti kati ya kutaifisha na kufilisi?
HBD LEON OSMAN1981 - Leon Osman anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa Everton Fc.
Morning too, nao wiki hii uko huru asubuhi tuMorning shululu
So bad![]()
Sio tu jina bali hadi benders imebadilishwa![]()
Lakini vita na umaskini viko pale pale
Ndiyo nchi maskini # 1 duniani japokuwa ina rasilimali za madini
.......
Njema,tunakumis piaHabari zenu Makapuku, nimewamiss sana jaman!