Makapuku Forum

Makapuku Forum

2012 - Gideon Ezra anafariki Dunia.

Waziri Mkuu wa zamani wa Israel.
a86b04a6cc4611212dce9473081d62a0.jpg
e0e49f67bec584de244447db32f93bb9.jpg
Alikuwa na umri wa miaka 74
.....
 
de76f6144252524ae8f0bd36e86da726.jpg
470592e11e00aaad0da223a01415cf1c.jpg
f69aa50d441438754cd0236f13d39988.jpg
Sio tu jina bali hadi benders imebadilishwa
Lakini vita na umaskini viko pale pale
Ndiyo nchi maskini # 1 duniani japokuwa ina rasilimali za madini
.......
Nchi tajiri lakini wananchi wake maskini wa kutupwa.

Rais Kabila amefuta uchaguzi mkuu mwaka huu kwa kisingizio cha kukosa pesa.

Afrika haijawahi kuaniangusha.
 
ISAYA 43

1.Lakini ,sasa BWANA aliyekuhuluku,Ee Yakobo,yeye aliyekuumba .Ee Israel,asema hivi,USIOGOPE,maana nimekukomboa;nimekuita kwa jina lako,WEWE U WANGU...(SISI NI WA MUNGU)

HAPA TUNAITWA KWA MAJINA YETU

-FAKALAVA
-LEE EMPIRE
-OBE
-WERASSON
-SHUNIE
-SHULULU
-CYLKEI
-NYAGEI
-MUSSOLIN5
-SHIMBA YA BUYENZE
-BITOZ
-SHEDEDE
-TUMOSA
-MONDRAY
-QUIGLEY
-SAKAYO
-TRANCSEND
-VALENTINA
-BLESSEDHOPE
-BAILY5
-HUSNA MUBA
-IPOGOLO
-UKHUTHY
-QUEEN
-TETRA....
-ARCHIDUKE
-SNIPES
-MNDALI
-MSAKA-UCHAWI
-DINGIMTOTO
-MAKAPUKU WOTE
NA WENGINE SIJASHIKA MAJINA (MNISAMEHE)UJUMBE HUU UNATUHUSU ASUBUHI YA LEO

2.Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe,na katika mito ,haitakugharikisha,uendapo katika moto hutateketea,wala mwali wa moto hautakuunguza.

3.Maana mimi ni BWANA MUNGU wako ,MTAKATIFU wa Israel,MWOKOZI wako ,nimetoa Misri kuwa ukombozi wako ,nimetoa Kushi na Seba kwa ajili yako.

4.Kwakuwa ulikuwa waTHAMANI MACHONI PANGU,na mwenye KUHESHIMIWA,nami NIMEKUPENDA,Kwasababu hiyo nitatoa WATU kwa ajili yako ,na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako

5.USIOGPE MAANA MIMI ni PAMOJA nawe,nitaleta wazao wako toka magharibi.


Wapendwa Mungu anatupenda sana ,na ametupa matumaini ya kuishi kwa furaha na hata TUSIOGOPE

TUSIOGOPE MAANA YUKO PAMOJA NASI.ANATUPENDA,ANATUTHAMINI,ANATUJALI

WOGA HULETA KUKATA TAMAA NA HAKIKA HATUPASWI.

KWALOLOTE TUNALOPITIA TUMTANGULIZE MUNGU MBELE YEYE NDIO MUANZILISHI NA MMALIZIAJI WA MAISHA YETU.

TUFANYE KAZI KWA BIDII,TUMHESHIMU,TUMPENDE NA HAKIKA TUTAYAONA MEMA MENGI NA AHADI ZAKE ZOTE ZITATIMIA

TUOMBE

Baba asante kutuamsha salama
Asnte kwa upendo wako usio na mwisho
Tunaomba ututoe roho ya woga na tukutumaini wewe siku zote za maisha yetu

Tufundishe kukupenda ,kukutii,kukuheshimu maana itatujenga kuwa na Upendo kuwa watii na kujiheshimu daima.
Tunaomba toba kwa makosa yetu yote,na utusaidie tuwasamehe wale wote waliotukosea ili tusonge mbele.
Ponya wagonjwa,fariji wafiwa na wote wanaopitia changamoto yoyote..WASIOGOPE.

ASANTE BABA KWA KUWA UTATUPA KUSHINDA
Naomba katika jina la Yesu Amen

SIKU NJEMA...MSIOGOPE
Awwwwwh! Amina mkuu..

Tumepokea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom