BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
RIP Gideon Ezra2012 - Gideon Ezra anafariki Dunia.
Waziri Mkuu wa zamani wa Israel.
RIP Gideon Ezra2012 - Gideon Ezra anafariki Dunia.
Waziri Mkuu wa zamani wa Israel.
RIP "Petii" Patrick Mutesa Mafisango2012 - Patrick " Petii " Mutesa Mafisango anafariki Dunia.
Kiungo wa zamani wa APR Azam Fc, Simba Sc na timu ya taifa ya Rwanda.
Alifariki kwa ajali ya gari eneo la Chang'ombe jijini Dar Es Salaam.
Anazingua huyo mzee wa fungateYa moja kwa moja
Karibu tenaAsante,
Ni mwenyeji humu ila sikuwa online kipind kirefu JF kwa ujumla...this time nimerudi for good.
Asante jirani, nazipataje sasaAsante jirani...nilikumiss sana nimekuwekea senene![]()
Ipi sasa![]()
![]()
![]()
Kumbe kajiuzulu bodyguard wa Shunie
Naipenda kazi yangu mkuu siwezi kuchanganya mambo
basi sifa na utukufu tumrudishie Mungu!Hatujambo tunamshukuru Mungu,Tuna amani tele Mungu anatutia nguvu
Hii tabia ya kula rambirambi kumbe ilianza siku nyingi aisee, baadaye itahalalishwa![]()
Alikuwa ni nahodha wa Rwanda"Amavubi"![]()
Kama sijakosea msimu huo kwenye dhidi ya Yanga alifunga magoli mawili
Huo ndo msimu wa mwisho Mezani Fc kuchukua ubingwa VPL
Cha kusikitisha zaidi viongozi wa Simba walikula rambirambi pia Mafisango alizikwa kimaskini huko kwao DRC
Laana ya rambirambi haitawaacha
Mimi Yanga lakini Mafisango nilikuwa namkubali ni mmoja wa kiungo bora kuwahi kucheza VPL
.......
RIP Jorge Rafael Videla2013 - Jorge Rafael Videla anafariki Dunia.
Alikuwa ni Rais wa 42 wa Argentina.
Na mafao hapewi, Lee ana mkwala sanaHujaona ila barua aliyomuandika Lee ya kuacha kazi...
Kama mecky sadick na magu tuu yaani
Asante kwa historia Mussolin5,kazi yako ni njema ubarikiwe na siku yako iwe njemaLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Asante kwa mapicha picha ya ukweli mkuu bitoz
inaonekana watawala wengi wa zamani wa Argentina walikuwa wajeda![]()
.
.
.
Shukrani kwa historia
Tukutane jioni kwenye 10 kubwa
........
hahaha hapana mkuuHaaaaahaaaa, wakati unaenda chuo ni nini (IFM)
Agiza soda kwa Mangi nitakuja kulipaKutaifishwa,hiyo Mali inakuwa ya serikali
Kufilisiwa, Mali zako zote kupigwa mnada na bank au serikali kupitia kwa wakala wao wa udalali