Makapuku Forum

Makapuku Forum

ISAYA 43

1.Lakini ,sasa BWANA aliyekuhuluku,Ee Yakobo,yeye aliyekuumba .Ee Israel,asema hivi,USIOGOPE,maana nimekukomboa;nimekuita kwa jina lako,WEWE U WANGU...(SISI NI WA MUNGU)

HAPA TUNAITWA KWA MAJINA YETU

-FAKALAVA
-LEE EMPIRE
-OBE
-WERASSON
-SHUNIE
-SHULULU
-CYLKEI
-NYAGEI
-MUSSOLIN5
-SHIMBA YA BUYENZE
-BITOZ
-SHEDEDE
-TUMOSA
-MONDRAY
-QUIGLEY
-SAKAYO
-TRANCSEND
-VALENTINA
-BLESSEDHOPE
-BAILY5
-HUSNA MUBA
-IPOGOLO
-UKHUTHY
-QUEEN
-TETRA....
-ARCHIDUKE
-SNIPES
-MNDALI
-MSAKA-UCHAWI
-DINGIMTOTO
-MAKAPUKU WOTE
NA WENGINE SIJASHIKA MAJINA (MNISAMEHE)UJUMBE HUU UNATUHUSU ASUBUHI YA LEO

2.Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe,na katika mito ,haitakugharikisha,uendapo katika moto hutateketea,wala mwali wa moto hautakuunguza.

3.Maana mimi ni BWANA MUNGU wako ,MTAKATIFU wa Israel,MWOKOZI wako ,nimetoa Misri kuwa ukombozi wako ,nimetoa Kushi na Seba kwa ajili yako.

4.Kwakuwa ulikuwa waTHAMANI MACHONI PANGU,na mwenye KUHESHIMIWA,nami NIMEKUPENDA,Kwasababu hiyo nitatoa WATU kwa ajili yako ,na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako

5.USIOGPE MAANA MIMI ni PAMOJA nawe,nitaleta wazao wako toka magharibi.


Wapendwa Mungu anatupenda sana ,na ametupa matumaini ya kuishi kwa furaha na hata TUSIOGOPE

TUSIOGOPE MAANA YUKO PAMOJA NASI.ANATUPENDA,ANATUTHAMINI,ANATUJALI

WOGA HULETA KUKATA TAMAA NA HAKIKA HATUPASWI.

KWALOLOTE TUNALOPITIA TUMTANGULIZE MUNGU MBELE YEYE NDIO MUANZILISHI NA MMALIZIAJI WA MAISHA YETU.

TUFANYE KAZI KWA BIDII,TUMHESHIMU,TUMPENDE NA HAKIKA TUTAYAONA MEMA MENGI NA AHADI ZAKE ZOTE ZITATIMIA

TUOMBE

Baba asante kutuamsha salama
Asnte kwa upendo wako usio na mwisho
Tunaomba ututoe roho ya woga na tukutumaini wewe siku zote za maisha yetu

Tufundishe kukupenda ,kukutii,kukuheshimu maana itatujenga kuwa na Upendo kuwa watii na kujiheshimu daima.
Tunaomba toba kwa makosa yetu yote,na utusaidie tuwasamehe wale wote waliotukosea ili tusonge mbele.
Ponya wagonjwa,fariji wafiwa na wote wanaopitia changamoto yoyote..WASIOGOPE.

ASANTE BABA KWA KUWA UTATUPA KUSHINDA
Naomba katika jina la Yesu Amen

SIKU NJEMA...MSIOGOPE
Amen kubwa!
ubarikiwe!
 
ad3ce3146fa9768a3c2d15c92e413927.jpg
a6bb361ce28d64afb2fa7e1fc69bf31e.jpg

Ilijulikana kama 6 Day War ilikuwa ni vita kati ya Israel na Syria ila Waarabu wa Misri,Jordan na Iraq wakaamua kuunganisha nguvu ili kumsaidia mwarabu mwenzao lakini mwisho Wa siku wakaambulia vipigo
......
dooh! alliance yote hiyo na bado wakala kichapo, kumbe israel wapo vizuri sana
 
1997 - Laurent Kabila anaingia ndani ya mji wa Kinshasa kuashiria kumalizika kwa utawala wa Mobutu Sesseseko.

Nchi ya Zaire yabadilishwa jina na kuwa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo.
de76f6144252524ae8f0bd36e86da726.jpg
470592e11e00aaad0da223a01415cf1c.jpg
f69aa50d441438754cd0236f13d39988.jpg
Sio tu jina bali hadi benders imebadilishwa
Lakini vita na umaskini viko pale pale
Ndiyo nchi maskini # 1 duniani japokuwa ina rasilimali za madini
.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom