Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,257
Asante komrediShukrani mkuu Mussolin5 kwa historia
Uwe na siku njema
Asante komrediShukrani mkuu Mussolin5 kwa historia
Uwe na siku njema
Asante kwa historiaNchi tajiri lakini wananchi wake maskini wa kutupwa.
Rais Kabila amefuta uchaguzi mkuu mwaka huu kwa kisingizio cha kukosa pesa.
Afrika haijawahi kuaniangusha.
Nakuombea usipate demu mkuu...
Ukipata demu unaweza kujiuzulu kama shedede
Nashukuru mkuuAsante kwa historia
Karibu sana ujiunge nasi tenaYeees![]()
NdiooISAYA 43
1.Lakini ,sasa BWANA aliyekuhuluku,Ee Yakobo,yeye aliyekuumba .Ee Israel,asema hivi,USIOGOPE,maana nimekukomboa;nimekuita kwa jina lako,WEWE U WANGU...(SISI NI WA MUNGU)
HAPA TUNAITWA KWA MAJINA YETU
-FAKALAVA
-LEE EMPIRE
-OBE
-WERASSON
-SHUNIE
-SHULULU
-CYLKEI
-NYAGEI
-MUSSOLIN5
-SHIMBA YA BUYENZE
-BITOZ
-SHEDEDE
-TUMOSA
-MONDRAY
-QUIGLEY
-SAKAYO
-TRANCSEND
-VALENTINA
-BLESSEDHOPE
-BAILY5
-HUSNA MUBA
-IPOGOLO
-UKHUTHY
-QUEEN
-TETRA....
-ARCHIDUKE
-SNIPES
-MNDALI
-MSAKA-UCHAWI
-DINGIMTOTO
-MAKAPUKU WOTE
NA WENGINE SIJASHIKA MAJINA (MNISAMEHE)UJUMBE HUU UNATUHUSU ASUBUHI YA LEO
2.Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe,na katika mito ,haitakugharikisha,uendapo katika moto hutateketea,wala mwali wa moto hautakuunguza.
3.Maana mimi ni BWANA MUNGU wako ,MTAKATIFU wa Israel,MWOKOZI wako ,nimetoa Misri kuwa ukombozi wako ,nimetoa Kushi na Seba kwa ajili yako.
4.Kwakuwa ulikuwa waTHAMANI MACHONI PANGU,na mwenye KUHESHIMIWA,nami NIMEKUPENDA,Kwasababu hiyo nitatoa WATU kwa ajili yako ,na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako
5.USIOGPE MAANA MIMI ni PAMOJA nawe,nitaleta wazao wako toka magharibi.
Wapendwa Mungu anatupenda sana ,na ametupa matumaini ya kuishi kwa furaha na hata TUSIOGOPE
TUSIOGOPE MAANA YUKO PAMOJA NASI.ANATUPENDA,ANATUTHAMINI,ANATUJALI
WOGA HULETA KUKATA TAMAA NA HAKIKA HATUPASWI.
KWALOLOTE TUNALOPITIA TUMTANGULIZE MUNGU MBELE YEYE NDIO MUANZILISHI NA MMALIZIAJI WA MAISHA YETU.
TUFANYE KAZI KWA BIDII,TUMHESHIMU,TUMPENDE NA HAKIKA TUTAYAONA MEMA MENGI NA AHADI ZAKE ZOTE ZITATIMIA
TUOMBE
Baba asante kutuamsha salama
Asnte kwa upendo wako usio na mwisho
Tunaomba ututoe roho ya woga na tukutumaini wewe siku zote za maisha yetu
Tufundishe kukupenda ,kukutii,kukuheshimu maana itatujenga kuwa na Upendo kuwa watii na kujiheshimu daima.
Tunaomba toba kwa makosa yetu yote,na utusaidie tuwasamehe wale wote waliotukosea ili tusonge mbele.
Ponya wagonjwa,fariji wafiwa na wote wanaopitia changamoto yoyote..WASIOGOPE.
ASANTE BABA KWA KUWA UTATUPA KUSHINDA
Naomba katika jina la Yesu Amen
SIKU NJEMA...MSIOGOPE![]()
![]()


GreatAsante,
Ni mwenyeji humu ila sikuwa online kipind kirefu JF kwa ujumla...this time nimerudi for good.
2012 - Patrick " Petii " Mutesa Mafisango anafariki Dunia.
Kiungo wa zamani wa APR Azam Fc, Simba Sc na timu ya taifa ya Rwanda.
Alifariki kwa ajali ya gari eneo la Chang'ombe jijini Dar Es Salaam.
Hujaona ila barua aliyomuandika Lee ya kuacha kazi...![]()
![]()
![]()
Kumbe kajiuzulu bodyguard wa Shunie
Naipenda kazi yangu mkuu siwezi kuchanganya mambo
Tuko pamoja mkuu le dictatorAsante komredi
Rip Cap Mafisango![]()
Alikuwa ni nahodha wa Rwanda![]()
Kama sijakosea msimu huo kwenye dhidi ya Yanga alifunga magoli mawili
Huo ndo msimu wa mwisho Mezani Fc kuchukua ubingwa VPL
Cha kusikitisha zaidi viongozi wa Simba walikula rambirambi pia Mafisango alizikwa kimaskini huko kwao DRC
Laana ya rambirambi haitawaacha
Mimi Yanga lakini Mafisango nilikuwa namkubali ni mmoja wa kiungo bora kuwahi kucheza VPL
.......
KivipiYa moja kwa moja
Sikuwepo mkuu kwa kitamboHujaona ila barua aliyomuandika Lee ya kuacha kazi...
Kama mecky sadick na magu tuu yaani
2013 - Jorge Rafael Videla anafariki Dunia.
Alikuwa ni Rais wa 42 wa Argentina.
hahaha.. kumbe umeshawai kuionja Pai!Pai tamu,,
![]()
![]()
![]()
Hakika mkuu nakuunga mkono kwa 100%.![]()
Alikuwa ni nahodha wa Rwanda![]()
Kama sijakosea msimu huo kwenye dhidi ya Yanga alifunga magoli mawili
Huo ndo msimu wa mwisho Mezani Fc kuchukua ubingwa VPL
Cha kusikitisha zaidi viongozi wa Simba walikula rambirambi pia Mafisango alizikwa kimaskini huko kwao DRC
Laana ya rambirambi haitawaacha
Mimi Yanga lakini Mafisango nilikuwa namkubali ni mmoja wa kiungo bora kuwahi kucheza VPL
.......