Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,900
teh teh angalia asikuzunguke tuNakuombea usipate demu mkuu...
Ukipata demu unaweza kujiuzulu kama shedede
teh teh angalia asikuzunguke tuNakuombea usipate demu mkuu...
Ukipata demu unaweza kujiuzulu kama shedede
hahahahaaa some how yes/no...
si unajua huwezi ukasimama moja kwa moja unajiangalia, unatembea huku unajiangalia,
akili yako uigawe mara tatu, kwanza unapoelekea usigongane na mtu
pili mtu asigundue kama unajiangalia kwenye kioo
tatu ujue kama upo chicha au ovyo

Sawa ipogolo tutarudi huku baada ya mechiKiporo cha Madrid kitachacha. Tukutane usiku. Team Barcelona.
Kwema kabisa mkuu, Uko poa?mkuu kwema
Hahaha nimekula kiapo mkuuteh teh angalia asikuzunguke tu
Karibu mamaI see
aisee kapuku idumu milele 🙂🙂🙂![]()
![]()
daah! wewe jamaa umenichekesha! hiyo akili ulivyo igawa mara tatu, bila shaka wewe utakuwa jiniazi tu!
Amazing

niko poa mkuu, naona ulitukimbia siku 2, 3Kwema kabisa mkuu, Uko poa?
kapuku idumu zaidi ya chama cha mapinduzi 😀aisee kapuku idumu milele 🙂🙂🙂
Walijiandaa,na kama hapo juu imeonekana wana sense nzuri
Amenbasi sifa na utukufu tumrudishie Mungu!
AIBU KUBWAHii tabia ya kula rambirambi kumbe ilianza siku nyingi aisee, baadaye itahalalishwa
I salute uHahaha nimekula kiapo mkuu
Sidhani kama ana amani moyoni mwake,mambo kama haya yananyima amani sanaKasema uchaguzi mpaka 2018 mwezi wa kumi