Makapuku Forum

Makapuku Forum

f7290f72f28574e1269a382c69bb9756.jpg

Tukutane jioni kwenye 10 kubwa
.......
Asante Larry inatusaidia sana[emoji2] [emoji2]
 
[emoji524] MITHALI 22

6.Mlee mtoto katika njia impasayo,naye hataiacha ,hata atakapokuwa mzee.

Hakika ukichukua hatua za makusudi za kufundisha watoto,hutajuta..muelimishe,mfundishe kazi,unapofanya kazi naye ashiriki ,atafahamu wajibu wake,hatakuwa anafanya hivyo vitu kwasababu labda ya miundombinu ,uwezo au kuiga lakini mazingira yakibana hatalala njaa,ataokota kuni,atapika,atasaidia hata wahitaji..tumuombe Mungu kuwasaidia watoto,wadogo zetu ili wawe watu wazima responsible[emoji120]
Kweli kabisa aisee
 
Back
Top Bottom