Makapuku Forum

Makapuku Forum

DID YOU KNOW?
1e2c8b28a63cac903d9b20c6110b9763.jpg
Sikujua,ukiwa mnyanyasaji unaweza hata mvua mtu nguo hapo hawakutaka watu wawe informed
 
MITHALI 22

6.Mlee mtoto katika njia impasayo,naye hataiacha ,hata atakapokuwa mzee.

Hakika ukichukua hatua za makusudi za kufundisha watoto,hutajuta..muelimishe,mfundishe kazi,unapofanya kazi naye ashiriki ,atafahamu wajibu wake,hatakuwa anafanya hivyo vitu kwasababu labda ya miundombinu ,uwezo au kuiga lakini mazingira yakibana hatalala njaa,ataokota kuni,atapika,atasaidia hata wahitaji..tumuombe Mungu kuwasaidia watoto,wadogo zetu ili wawe watu wazima responsible
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom