BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Nakumis sana pia mahali hapa,unaendeleaje?ubarikiwe[emoji120]Amen mamy
Nimekumiss mama mchungaji
Nakumis sana pia mahali hapa,unaendeleaje?ubarikiwe[emoji120]Amen mamy
Nimekumiss mama mchungaji
Ubarikiwe mkuu Mussolin5 asante sana kwa historia,siku njema[emoji120]Leo Katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Happy Birthday Janet Jackson..Getting old is Growing 51 years now!!Mungu akupe maisha marefu .1966 - Janet Jackson anazaliwa.
Mwanamuziki toka nchini Marekani.
Ni dada wa mwanamuziki nguli wa zamani wa pop, Michael Jackson.
Happy Birthday Pierce Brosnan GBU1953 - Pierce Brosnan anazaliwa.
Ni actor kutoka nchini Marekani.
Amewahi kuigiza movie za James Bond, akiwa kama James Bond.
Karibu[emoji120]Shukrani kwa sala mama pasta, missing you
Hata yeye alikimbia[emoji23] [emoji23] [emoji23]1997 - Rais Mobutu Sesseseko wa Zaire anakimbia nchi baada ya serikali yake kupinduliwa.
Hongera Rais Josip Broz Tito tawala kwa hekimaLeo katika Historia:
1974 - Josip Broz Tito anachaguliwa kuwa Rais wa Maisha wa Yugoslavia.
Wapi?Aisee, sijui kwanini nakuwa wamwisho kufahamu mambo yanayoendelea humu.
Ilianza ya Shunie kuanzishiwa uzi (sorry, jukwaa limenitoka). Leo tena nimeona shedede na husna muba wameanzisha uzi.
Duh, huwa nasikia tu, oh tukutane kule, wala sijui ni wapi kumbe kuna kuhamisha magoli ya huku na kuyapeleka kwingine.
Good afternoon dear karibuMorning guys
Ubarikiwe mkuu Shululu karibuAmen, Asante kwa neno mama mtumishi
AmenAsante kwa kuyapitia mama mchungaji
Ubarikiwe Obe,siku njema[emoji120]Siku nyingine mpya, kumekucha. Siku njema Makapuku
Asante shululu na BlessedHope kwa kutuanzia shia siku kwa magazeti na sala.
Miss you more ,nashukuru kama uko salama,Mungu akutunze karibuAmeni Mungu mkubwa sehem nilipo hakikufika
Miss you sana mama angu
Kwema tunamshukuru Mungukwema humu jaman????
Npo hny, nlkuwa na homa kdgoNakumis sana pia mahali hapa,unaendeleaje?ubarikiwe[emoji120]