Makapuku Forum

Makapuku Forum

11645e351ed0fa5ccaf39f5e1fb3cdca.jpg
 
Mkuu Mali ndiye bingwa mtetrzi na ni timu bora kindi B
Fowadi ya Serengeti Boys ipo vizuri tu sema jama kutokana na ubora wa Mali ilibidi tuvheze kwa kujihami la sivyo tungepigwa zaidi ya goli 3
.
Niger ni Waziri kikawaida kilichowafanya Jana waonekane tishio ni udhaifu wa Angola ila sioni km ana jeuri ya kumfunga Mali
.
Kinachotakiwa ni mechi ijayo timfinge Angola halafu bila kujali matokeo kati ya Mali v Niger ...mechi ya Mwisho tunakomaa na Niger na kuwafunga au hata kutafuta safe(kitu ambacho kinawezekana kabisa)
Kisha biashara imekwisha tunaenda World Cup
Hili kundi B ndo "rahisi" kuliko tungekuwepo kundi A
Kinachofurahosha zaidi mdogo wanacheza kwa nidhamu Jana wamepigwa kadi 1 tu wakati Mali wamepigwa kadi 3
........
Naafiki uchambuzi na tathimini yako.
Mathematical inawesekana.
Go Serengeti boys go.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom