Thanks fakalavaGod bless you everybody, and I say "you're blessed".
Post yako ilikuwa namba hiyoNdo nini sasa
Nilipitwa na couple mpyaNdiyoooo
[emoji111] [emoji111]Ahsante sana shululu
[emoji106] [emoji109]
Ndio sisiMakapuku
Mia Mia[emoji111] [emoji111]
Wisdom[emoji524] MITHALI 22
6.Mlee mtoto katika njia impasayo,naye hataiacha ,hata atakapokuwa mzee.
Hakika ukichukua hatua za makusudi za kufundisha watoto,hutajuta..muelimishe,mfundishe kazi,unapofanya kazi naye ashiriki ,atafahamu wajibu wake,hatakuwa anafanya hivyo vitu kwasababu labda ya miundombinu ,uwezo au kuiga lakini mazingira yakibana hatalala njaa,ataokota kuni,atapika,atasaidia hata wahitaji..tumuombe Mungu kuwasaidia watoto,wadogo zetu ili wawe watu wazima responsible[emoji120]
Nawaona mkuu[emoji23]Ndio sisi
Amina Mkuu Nyagei.Thanks fakalava
Ubarikiwe
All the Best[emoji120]![]()
Half Time
Mechi ngumu
Ila ubingwa lazima
......
Amen thank you for Blessings,you are Blessed too[emoji120]God bless you everybody, and I say "you're blessed".
Thanks mama Pastor, Bwana wa majeshi azidi kukutumia kuwagusa wengi.Amen thank you for Blessings,you are Blessed too[emoji120]
😀😀😛😛 Yuko wapi mtani wangu.![]()
![]()
![]()
Yanga bingwa 2016/17
Labda mechi ijayo Mezani Sc washinde 10:0 halafu Yanga afungwe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Asante sanaTupate ratiba ya mechi za leo
Haya ingawa sijaelewa kabisaa