Makapuku Forum

Makapuku Forum

😀😀😛😛 Yuko wapi mtani wangu.
48f6d8616e44c370bee6dbbc5e0c67e8.jpg
 
TOP TEN
wakuu leo tuone nchi 10 mbumbumbu zaidi duniani yaani zenye idadi kubwa ya wasionua kusoma na kuandika
Kuna usemi kwamba ukitaka kuwatawala watu kwa urahisi basi wanyime elimu
Waafrika kama kawaida yetu tumetawala 10 bora kwa kuingiza nchi 9
Takwimu ni za mwaka huu
Karibuni
.......
 
Tumeishakaribia
 
8/Ethiopia
f24222a0834a19496d9303b739c2f46d.jpg

Nchi hii ya Haile Sellasie ina mambo ya kushangaza yaani inajali zaidi kujenga barabara,treni za umeme ,kununua ndege n.k kuliko kuwapa elimu wananchi wake usishangae ndio maana kila siku wanafia kwenye malori wakitoroka nchi
Inakadiriwa kuwa na watu karibia milioni 100
Ni 40% pekee walioelimika
Yaani 60% wapo wapo tu wao na maandishi hawapatani

Asante
 
Too bad
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom