Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
1953 - Pierce Brosnan anazaliwa.
Ni actor kutoka nchini Marekani.
Amewahi kuigiza movie za James Bond, akiwa kama James Bond.
Ila jamaa anajua
.....
1953 - Pierce Brosnan anazaliwa.
Ni actor kutoka nchini Marekani.
Amewahi kuigiza movie za James Bond, akiwa kama James Bond.
Sawa kiongozi. Uwe na siku njemaNi kweli kabisa
Hata kwa simu hapatikaniNyagei sijui anashida gani
Vikongwe." Wanawake 2 ,kikongwe wauawa " Huu uandishi wa kisasa mmh!
1966 - Janet Jackson anazaliwa.
Mwanamuziki toka nchini Marekani.
Ni dada wa mwanamuziki nguli wa zamani wa pop, Michael Jackson.
Pole sanaPoa poa bitoz
Kuna mtu jana anasema awamu hii haina kujuanna
Jana hawa watu wa majembe wameniumiza huko huko masaki sh 50,000 nilikuwa ndani ya gari naongea na simu, huwezi amini nilifuatwa kama jambazi aisee
Baadaye nasikia na malima naye yamemkuta
Niger fowadi yao inasogea mbele (attack) hivyo ni rahisi kumfunga Mali.Mkuu nimeangalia mechi zote
Nimegundua Mali ndo timu hatari zaidi
Angola siyo wazuri sana wana tatizo kubwa safi ya ulinzi kule nyuma kunavuja na tunaweza kabisa kuwafunga mechi ijayo
Niger nao ni shida wanacheza soka la kushambulia kilichowaponza Jana ni kushindwa "kuua mechi" kwa kupoteza nafasi za wazi kabisa
Mechi ijayo tukimfinga Angola mambo yatakuwa safi kabisa
.........
Nawe piaSawa kiongozi. Uwe na siku njema
Mkuu Mali ndiye bingwa mtetrzi na ni timu bora kindi BNiger fowadi yao inasogea mbele (attack) hivyo ni rahisi kumfunga Mali.
Angola, beki yao mbofu inakubali kufungwa hivyo tutaweza mfunga na akafungwa na Mali pia.
Je Niger kwetu itakuwaje?
Fowadi yetu sio nzuri saanaa hivyo ushindi ni mfinyu.
Beki yetu na kipa ziko vizuri sana kasoro beki mbili.
Mungu ibariki Serengeti boys the new kamazi.
Asante, tunalazimishwa kutoa pesa kwa nguvuPole sana
Awamu hii ni kukamuana tu
Kuna kodi kibao zisizo rasmi
![]()
![]()
![]()
.......
kanipa cha mbavu akaenda love connect kutafuta mpya na sijamuona tena mpaka leo humuAisha wap?
hahahaha nipo makini mkuuUnaminya macho,!! Utapitwa na vitu vizuri
Katika ubora wanguShilawaduuuu nakuonaaa![]()
Aisee pole sana MkuuPoa poa bitoz
Kuna mtu jana anasema awamu hii haina kujuanna
Jana hawa watu wa majembe wameniumiza huko huko masaki sh 50,000 nilikuwa ndani ya gari naongea na simu, huwezi amini nilifuatwa kama jambazi aisee
Baadaye nasikia na malima naye yamemkuta
Pamoja sana, tukutane baadae.![]()
![]()
![]()
.
..
.
.
.
.Ahsante mkuu
Kwa historia
.......
Simu yake inasumbua,anaishughulikiaNyagei sijui anashida gani
Pole sanaSimu yangu imepsta hitilafu kope kuanzia kesho nitakua humu vzr
Ameni Mungu mkubwa sehem nilipo hakikufikaNjema unaendeleaje pole na majukumu,ulituambia uko Zanziba poleni na kimbunga Mungu awaepushe na maafa,ubarikiwe