Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Sio mbaya piaNakuja usiku, naona ndio muda mzuri. Mchana nakua busy
Sio mbaya piaNakuja usiku, naona ndio muda mzuri. Mchana nakua busy
NdioUnacheka!!
All the bestNdio
Umefufuka popo..All the best
me too bby umeamka salamaNjema sana mefurai kukuona
kama kawa afande mishe vipAfande shedede niaje
monieMorning guys
Mkuu OneAisee, sijui kwanini nakuwa wamwisho kufahamu mambo yanayoendelea humu.
Ilianza ya Shunie kuanzishiwa uzi (sorry, jukwaa limenitoka). Leo tena nimeona shedede na husna muba wameanzisha uzi.
Duh, huwa nasikia tu, oh tukutane kule, wala sijui ni wapi kumbe kuna kuhamisha magoli ya huku na kuyapeleka kwingine.
Hahahaha,, nipo..sikuoni mida ile tena vipi???Umefufuka popo..
Kumbe ni popoUmefufuka popo..

Duh hii habari ya Malima Mkuli atasema kuandika front page ni uchochezi
Wewe mkali![]()
mambo bby
Simu yangu imepsta hitilafu kope kuanzia kesho nitakua humu vzrHahahaha,, nipo..sikuoni mida ile tena vipi???
Anachelewa kulalaKumbe ni popo![]()
nawewe umefufuka aiseUmefufuka popo..
shukrani mkuuWewe mkali
Hongera kwa kupata mpenz
Karibu sana,. Baadae nitakuuliza swaliSimu yangu imepsta hitilafu kope kuanzia kesho nitakua humu vzr
