shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Pamoja sana mkuu ObeSiku nyingine mpya, kumekucha. Siku njema Makapuku
Asante shululu na BlessedHope kwa kutuanzia shia siku kwa magazeti na sala.
Pamoja sana mkuu ObeSiku nyingine mpya, kumekucha. Siku njema Makapuku
Asante shululu na BlessedHope kwa kutuanzia shia siku kwa magazeti na sala.
Asante mkuluView attachment 509842Kwa udhamini mnono wa serengeti boys, sina la ziada kutoka magazetini, siku njema
Unajua kuwa Shunie ndie alikuwa kuwadi.Aisee, sijui kwanini nakuwa wamwisho kufahamu mambo yanayoendelea humu.
Ilianza ya Shunie kuanzishiwa uzi (sorry, jukwaa limenitoka). Leo tena nimeona shedede na husna muba wameanzisha uzi.
Duh, huwa nasikia tu, oh tukutane kule, wala sijui ni wapi kumbe kuna kuhamisha magoli ya huku na kuyapeleka kwingine.
hahahaha tuendelee kuwa wapenzi watazamajiAisee, sijui kwanini nakuwa wamwisho kufahamu mambo yanayoendelea humu.
Ilianza ya Shunie kuanzishiwa uzi (sorry, jukwaa limenitoka). Leo tena nimeona shedede na husna muba wameanzisha uzi.
Duh, huwa nasikia tu, oh tukutane kule, wala sijui ni wapi kumbe kuna kuhamisha magoli ya huku na kuyapeleka kwingine.
hahahaha tuendelee kuwa wapenzi watazamaji
Morning shululuPamoja sana mkuu Obe
Sio wamwisho sema unachelewa kufahmu, mimi sijawahi hata kuyajua hayo uyasemayoAisee, sijui kwanini nakuwa wamwisho kufahamu mambo yanayoendelea humu.
Ilianza ya Shunie kuanzishiwa uzi (sorry, jukwaa limenitoka). Leo tena nimeona shedede na husna muba wameanzisha uzi.
Duh, huwa nasikia tu, oh tukutane kule, wala sijui ni wapi kumbe kuna kuhamisha magoli ya huku na kuyapeleka kwingine.
Morning cilikeiMorning guys
Shukrani kwa sala mama pasta, missing you3 Yohana 1
2.Mpenzi naomba ufanikiwe katika mambo yako yote na kuwa na afya yako ,kama vile roho yako ifanikiwavyo.
TUOMBE
Asante Baba kutufikisha umbali huu.
Tunaomba toba kwa yote tunayokosea.
Bariki kazi za mikono yetu
Ponya wagonjwa ,watie nguvu wafiwa,wajane na yatima
Ponya familia na uzifanikishe katika afya,mwili na roho.
Tembea nasi siku ya leo
Roho Mtakatifu tuongoze tupe hekima katika kila jambo
Asante Baba kwa kuwa unatupenda na unatufanikisha
Najua utafanya sawasawa na mapenzi yako.
Katika jina la Yesu naomba na kushukuru.
Amen
Siku njema wapendwa Mfanikiwe kama neno lisemavyo,hiyo ni ahadi ya Mungu kwetu.Hivyo ni haki yetu tukiri mafanikio Amen![]()
![]()
Ubarikiwe sanaaAsante Serengeti boys kwa udhamini wa magazeti wabarikiwe![]()
Kuko poamakapuku habar za saivi
Uwe na siku njema pia shululuView attachment 509842Kwa udhamini mnono wa serengeti boys, sina la ziada kutoka magazetini, siku njema
haya tuendelee kuwa wapenziHa hahhahhah, wewe endelea kuwa mtizamaji mimi ninabaki kuwa mpenzi msikilizaji
NaniKafany pouw
Hahaha..wanawake mbili" Wanawake 2 ,kikongwe wauawa " Huu uandishi wa kisasa mmh!
Shukrani kiongoziMAGAZETI YA LEO YATAWAIJIA HIVI PUNDE