shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Asante kwa leo katika historia mkuu musoliniLeo Katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Asante kwa leo katika historia mkuu musoliniLeo Katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Jah!!Chio kweli bwana
Leo umemchelewesha kumwamshaYuko poa![]()
Hahaha sawa mzoefuAaah nishatokewa na magumu mengi zaid ya hayo..
Hua sikai na kitu rohoni mie na mapenz hayaniendeshi wala hayana nafasi kwangu jooh..

Kundi hili sio maarufu sana lakini ni kundi hatari.Angola![]()
Niger![]()
Full Time
Table:
Niger pts 1
Angola 1
Tz ........1
Mali......1
.
Next matches
May 18
Tz v Angola
Niger v Mali
...........
Leo ni bahati sana kuwepo muda huuNakuja usiku, naona ndio muda mzuri. Mchana nakua busy
1997 - Rais Mobutu Sesseseko wa Zaire anakimbia nchi baada ya serikali yake kupinduliwa.
Mishe iko poa kabisakama kawa afande mishe vip
Niko vzr. Leo umefungua jukwaa, ndio kawaida yako??Tetramelyz niaje, uko poa lakini
Mnajuana wazee wa angaHahahaha,, nipo..sikuoni mida ile tena vipi???
Unaminya macho,!! Utapitwa na vitu vizuri
Poa poaAsante tetramelyz
Aisha wap?nasubiria hiyo cycle ifike kwangu
swindling....
Hahaha, naibia ibia muda kidogo, maisha ndio haya haya. Hakuna mengineLeo ni bahati sana kuwepo muda huu
Hahaha, huyu na mimi kazi zetu sawa thus yMnajuana wazee wa anga
Poa poa bitozDuh hii habari ya Malima Mkuli atasema kuandika front page ni uchochezi
.
.
Shukrani kwa magazeti
.......
Mkuu nimeangalia mechi zoteKundi hili sio maarufu sana lakini ni kundi hatari.
1: Uwezo wao unalingana/fanana
2: Bingwa (mshindi)atapatikana kwa points chache.
3: Head to head inaweza kutumika
Ni kweli kabisaHahaha, naibia ibia muda kidogo, maisha ndio haya haya. Hakuna mengine