BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Hahahaha...wee vipi ishukuru kalamu ya red iliyoshikwa na husna muba ikaandika uliyosoma, mungu ahusiki hata kidogo
Hahahaha...wee vipi ishukuru kalamu ya red iliyoshikwa na husna muba ikaandika uliyosoma, mungu ahusiki hata kidogo
Bado mkuu sijakupata vizuri,,,embu nifafanulie zaidi
Naijua,niliicheza sana enzi hizoo asante kushare kumbukumbu nzuri,nadhani una Library kubwa ya hizi nyimbo ,hongeraUnaijua hii ngoma kwani?
Ninaisikiliza muda huu nililale

Karibu makapuku, kwa kuanzia 'wholesome water' yaani maji ya jumla ni maji yenye kujumlisha potable water na palatable water.
Potable water yanatokana na maji yaliyo kwenye mtungi, yaani a pot, haya mara nyingi huwa yamechemshwa, kuwekewa 'shabu', yananuka moshi lakini hayana shida kunywa.
Palatable wota ni maji ambayo hayana hivyo nilivyotaja hapo juu, haya yako kwenye mazingira mazuri hayana harufu wala ladha yoyote ni maji tena ni ya bure (kwa sauti ya Kingwendu)

Pamoja mkuu.
Asante bitoz kwa kumi kubwa
Thanks kwa top ten Bitz
Asante sana,ubarikiwe sana![]()
Miaka nane
peace
Same to you sir have a Blessed night,guardian angels sorround your bed,protect you,watch you...by the blood of Jesus Christ,sleep well AmenLeo mapemaa, ngoja niupumzishe huu mwili wa bwana.....Nawakabidhi mikononi mwa Bwana wa mabwana Kristo Yesu.....Amen.....goodnight family![]()
![]()

mkuu umelipia tangazo??
Same to you sir have a Blessed night,guardian angels sorround your bed,protect you,watch you...by the blood of Jesus Christ,sleep well Amen![]()
![]()
Amen.....The same to you Mamilolo.Ubakaji umeanza siku nyingi,tena ulifanywa na jamaa wa karibu mno,mara nyingi waliobakwa walionywa wasiseme niliwahi kutana na mama wa miaka 60, alibakwa na mjomba wake akiwa mdogo miaka tisa ,n a akaambiwa ukisema nitakuua,alpata ujauzito,hatimaye akaingia mtaani,yeye na mtoto wake waliishi katika mazingira magumu sana,baadae akapata fursa ya mafunzo mbalimbali na kuelimishw khs haki za binadamu na reproductive right,alikuja kuwa mwalimu mzuri sana sana,na siku hiyo kwa mara ya kwanza alitoa siri hiyo,wakati mjomba wake alimpiga sana familia ilipogundua ni mjamzito.tuziombee sana familia zetu na vizazi vyetu hakuna linalomshinda Mungu.![]()
Pamoja sana wakuu
Nchi nyingi zilizoendrlea zinajali hali za watoto ndiyo maana wameficha picha na utambulisho wao ila suala la umri wao mdogo ni ukweli mtupu na wengi walibakwa na kumbukeni kufanya mapenzi na watoto ni ubakali
Tukutane kesho
Niwatakie Usiku Mwema
................

Nawe pia![]()
Pamoja sana wakuu
Nchi nyingi zilizoendrlea zinajali hali za watoto ndiyo maana wameficha picha na utambulisho wao ila suala la umri wao mdogo ni ukweli mtupu na wengi walibakwa na kumbukeni kufanya mapenzi na watoto ni ubakali
Tukutane kesho
Niwatakie Usiku Mwema
................
ZABURI 46

asante, nawe piaZABURI 46
1.Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu,msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso
2.Kwahiyo hatutaogopa ijapobadilika nchi,Ijapotetemeka milima moyoni mwa bahari.
3.Maji yake yajapovuma na kuumuka,ijapopepesuka milima kwa kiburi chake
TUOMBE
Tunakushukuru Baba kwa ulinzi wako mchana kutwa Wewe ndiye kimbilio na nguvu yetu,msaada wa kila jambo tunajikabidhi mikononi mwako usiku wa leo utukinge na hatari mbalimbali na ajali mbalimbali,mkono wako ukatukumbatie kama kuku anavyokumbatia vifaranga,tunakwenda kinyume na nguvu zotevza giza ,tunaomba malaika walinzi wakawe nasi usiku kucha.
tuliza wafiwa,yatima wagonjwa,bariki kila mipango tunayopanga tusipungukiwe.
Mapenzi yako yatimie.
Tunaomba na kushukuru katika jina la Yesu amen
USIKU MWEMA MBARIKIWE![]()
![]()
Same to you sir have a Blessed night,guardian angels sorround your bed,protect you,watch you...by the blood of Jesus Christ,sleep well Amen![]()
![]()
Ubarikiweasante, nawe pia
Asante sana na hongera kwa ushindi,nina mwanangu Chelsea damu ,nadhani aliko anashangiliaUsiku mwema Makapuku, game imeisha na kama kawaida Machampion Chelsea tumeshinda 4 kwa taabu sana.
Love

JamaniSijiu niandike nini ili nisionekane nina wivu, enewi, yote maisha, wakati unalilia kupendwa, mwingine anapendwa kifurukutwa yaani hadi maua, flowers.