Makapuku Forum

Makapuku Forum

5/Football
133b6c0c036ba4df9a5813d2ec5dcadd.jpg
910eadf036b463e81bedea83539e4fcb.jpg

Hapa tunaongelea mpira wa miguu wa Kimarekani(American football) pamoja na wa kawaida
Hapa watu hugonfana na kutumia vibaya au kuchezea na rafu za makusudi
ca35103e0f482ea2f359b895b5c98682.jpg
bc315ccb822ba82fb07264bfa6db8fc5.jpg
Hapa Eduardo Da Silva akichezea kwanja
b8e210aa9f45394ef5e9def4a779fc6c.jpg

Hapa Djibril Cisse akiwa kavunjika vibaya
8161af758a2b667ad0aaad625be9348d.jpg
4058c3e4a51706601b5fc11cd0c8a796.jpg

Wengine hudondoka uwanjani na kufariki kama Marc Vivien For mmoja kati kiungo box to box bora zaidi kuwahi kutokea ambaye hakuwa na mbwembwe km za Pogba yaani nywele fupi kipilipili tu
........
Rest in Peace Marc Vivian Foe,nimeumia sana huyu marehemu siku anapata shida uanjani iliyioelekea mauti yake niliuangalia ule mpira tangu mwanzo hadi anaanguka..kifo hakichagui siku wala saa tunapaswa kulijua hilo na kuwa tayari kila wakati
 
5/Football
133b6c0c036ba4df9a5813d2ec5dcadd.jpg
910eadf036b463e81bedea83539e4fcb.jpg

Hapa tunaongelea mpira wa miguu wa Kimarekani(American football) pamoja na wa kawaida
Hapa watu hugonfana na kutumia vibaya au kuchezea na rafu za makusudi
ca35103e0f482ea2f359b895b5c98682.jpg
bc315ccb822ba82fb07264bfa6db8fc5.jpg
Hapa Eduardo Da Silva akichezea kwanja
b8e210aa9f45394ef5e9def4a779fc6c.jpg

Hapa Djibril Cisse akiwa kavunjika vibaya
8161af758a2b667ad0aaad625be9348d.jpg
4058c3e4a51706601b5fc11cd0c8a796.jpg

Wengine hudondoka uwanjani na kufariki kama Marc Vivien For mmoja kati kiungo box to box bora zaidi kuwahi kutokea ambaye hakuwa na mbwembwe km za Pogba yaani nywele fupi kipilipili tu
........
Pole kwa majeruhi wote
 
90c51024ba291326365b314439157dde.jpg
2e008fb083ccd0aef2dbd53314bbe754.jpg
f01aa0320b0665d357258e57bbf1dce2.jpg

Mawe yanaanguka huko Lushoto eneo LA vugha road yamedondokea gari majeruhi wamekimbizwa hospital

lushoto kwetu Mungu asaidie
Mungu aingilie kati maporoko yakome katika jina la Yesu,majeruhi Mungu awape uponyaji ,pole kwa ndugu jamaa wote kwa shida hii,Mungu wetu ni wa huruma atasitisha dhoruba na kutakua salama
Maywether from TMT
 
6/Hockey
315ed9ca9a35e938981d7fcf45947e54.jpg
73fe180ef163630fe4afbb53bca2b600.jpg
24412ebcf264f689a7facf6df83dedf0.jpg

Huu mchezo unaweza kuudharau lakini ni hatari kinoma
Sababu?
Wachezaji huvaa kofia ngumu na viatu vya kuteleza/matairi hivyo kusababisha mtu kuanguka kwa urahisi na pengine kujigonga ukutani pindi akisukumwa
Sasa pia unaweza kujikuta unateleza na kuchanika msamba
Huu mchezo unahitaji umakini mkubwa na nguvu
Mara kadhaa wachezaji hufanyiana ubabeubabe tu
.........
I see zoote burudani
 
2/Bull riding
12cef318ddf9b9099002813b55346924.jpg
1ffbaecf5ea215a549d0cf9f4d893df2.jpg

Mchezo huu wa kucheza na ng'ombe dume ni hatari
Hawa ni ng'ombe walioshiba wa miraba mine sio wale njaanjaa wa Chato na Kolomije
Ilitokea ajali mfano ya kukanyagwa unaweza kujikuta unajinyea kabisa,kuvunjika mbavu pamoja na kupasuka kiungo vya ndani
Wengi hufia hospitali wakipatiwa matibabu
Pia kipindi kingine ng'ombe hupandisha kichwa na kuanza kujeruhi mashabiki
.........
Huu si mchezo!!! ni kifo!!!
 
7/Boxing
202d7e7bf093263b552199986bb806ec.jpg
7ca9d665483f66aa42a2be7861359c65.jpg

Hapa tunaongelea ndondi za kawaida pamoja na n ickboxing
Juzijuzi tu zimepigwa ngumi za kufa mtu kati ya Anthony Joshua na Vladimir Klitschko's ambapo tulishuhudia ngumi nzito kama mawe
Pia sio muda mrefu mdogo wa Matumla alizimia uwanjani baada ya kupigwa ngumu ya kichwani
Hapa wengi hupata madhara ya muda mrefu au mfupi
Mfano inasadikiwa Muhammad Alli baada ya kustaafu ngumi alipata ugonjwa uliotokana na madhara ya kupigana ndondi ambazo ziliathiri sehemu ya ubongo
Ila hawa jamaa huvuta mkwanja mrefu si mnamkumbuka yule mswahili Floyd Mayweather Jr
.......
Sana,ila wanalemaa sana
 
Rest in Peace Marc Vivian Foe,nimeumia sana huyu marehemu siku anapata shida uanjani iliyioelekea mauti yake niliuangalia ule mpira tangu mwanzo hadi anaanguka..kifo hakichagui siku wala saa tunapaswa kulijua hilo na kuwa tayari kila wakati


....nami niliiangalia mechi ile, tragedy.
Foe alikuwa kiuongo mahiri sana na baada ya michuano ile angecheza soka ndani ya klabu kubwa kabisa duniani Bitoz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom