Makapuku Forum

Makapuku Forum

1/Horseback Riding
2f38f6e0b0b9c91667e6aa2ae5e60bfd.jpg
871072f38fc92f92a821c36af7ce8163.jpg
7c677911af20be750ae243b69cd96cac.jpg

Huu mchezo ukiuangalia unaweza kuuchukulia poa lakini nenda kajaribu kuucheza
Mara nyingi ajali zake zina risk kubwa mfano kukanyagwa na far as I,kuangukia kichwa n.k
.
.
.
.
Ahsanteni kwa kufuatilia mada
Tukutane kesho
Mwisho
.........


nilitegemea ule mchezo wa kuruka na kamba ktk maghorofa au wale wa kuruka kutoka ktk ndege wanatengeneza maumbo mbalimbali angani

tuko pamoja
 
2/Bull riding
12cef318ddf9b9099002813b55346924.jpg
1ffbaecf5ea215a549d0cf9f4d893df2.jpg

Mchezo huu wa kucheza na ng'ombe dume ni hatari
Hawa ni ng'ombe walioshiba wa miraba mine sio wale njaanjaa wa Chato na Kolomije
Ilitokea ajali mfano ya kukanyagwa unaweza kujikuta unajinyea kabisa,kuvunjika mbavu pamoja na kupasuka kiungo vya ndani
Wengi hufia hospitali wakipatiwa matibabu
Pia kipindi kingine ng'ombe hupandisha kichwa na kuanza kujeruhi mashabiki
.........
asee! awa jamaa sijiu wana wazaga nini! michezo hii kibongo bongo wangekufa sana
 
Muziki ni Furaha

Maisha ni kuyafurahia katika mwanga bora, msemo huu unaweza kuwa na maana pana kati ya mtu na mtu, hali na hali na mazingira. kwa upande wetu Makapuku, muziki ni furaha inaweza maanisha hata kama wanadamu tuna mahitaji yaso kikomo (unlimited wants) basi tuna kiasi. Kifupi tunaridhika na hatuchoki kutafuta furaha yetu.

Turudi kwenye kipengele chetu cha 'utamu wa gitaa', karibu.

Wanasema Mungu anapenda muziki na hasa anapenda sauti za gitaa na ndiyo maana akamuumba Jimi Hendrix. Inawezekana humjui maana umezaliwa kwenye kizazi cha Rap, Hip hop na R&B na hujisumbui kusaka ladha nyingine za muziki.

Jimi Hendrix baadhi ya wafuatiliji wa wadonoa gitaa wanasema kuwa hajapata kutokea kama Jimi, nami kwa uchanga wangu nakiri japo si mpenzi wa muziki wa Rock nimeona clip zake na nakiri jamaa anajua kulidonoa gitaa kwa 'vurugu' kama Edi Lunyamila enzi zake na taifa Starz.

Jimi njapo hajadumu sana kwenye muziki na alitoweka duniani sababu ya matumizi mabaya ya madawa na ulevi anabaki kuwa ni alama kubwa ya upigaji gitaa katika karne ya 20 na anaheshimika vilivyo kiasi cha kuendelea kushinda tuzo za kimataifa tangu miaka ya 2000.

Alitia fora pale alipopewa gitaa la nyuzi 12 na kiukweli gitaa liliongea, huhitaji usikie maneno, sikiza gitaa na utapata furaha ya muziki.

Hapa tumuangalie akicharaza gitaa la nyuzi 12 , FYI: Unamkumbuka Muddy Waters? Alimfanya Jimi alipende gitaa

Nukuu: Pindi nguvu ya Upendo itakapotawala Upendo wa nguvu, dunia itaijua Amani'

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom