Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Subiria wenye msambwanda[emoji3] [emoji3] [emoji3]Haya bana...Ngoja tu niwe mpole kwq sababu hakuna namna [emoji23][emoji23][emoji23]
Subiria wenye msambwanda[emoji3] [emoji3] [emoji3]Haya bana...Ngoja tu niwe mpole kwq sababu hakuna namna [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Safiiiii [emoji23][emoji23] binamu obe mzee wa bakurutu ukujeee machungu ya mama mchuchu yameisha
Ndiooo[emoji3] [emoji3]Mweupe kibonge si ndio anaemtaka msukuma
Maywether from TMT7/Boxing![]()
![]()
Hapa tunaongelea ndondi za kawaida pamoja na n ickboxing
Juzijuzi tu zimepigwa ngumi za kufa mtu kati ya Anthony Joshua na Vladimir Klitschko's ambapo tulishuhudia ngumi nzito kama mawe
Pia sio muda mrefu mdogo wa Matumla alizimia uwanjani baada ya kupigwa ngumu ya kichwani
Hapa wengi hupata madhara ya muda mrefu au mfupi
Mfano inasadikiwa Muhammad Alli baada ya kustaafu ngumi alipata ugonjwa uliotokana na madhara ya kupigana ndondi ambazo ziliathiri sehemu ya ubongo
Ila hawa jamaa huvuta mkwanja mrefu si mnamkumbuka yule mswahili Floyd Mayweather Jr
.......
Hatujambo karibu kwenye jamviHamjamboooooo humuuuu
[emoji23][emoji23][emoji23] kama namuona binamu yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jorowe ataleta nyimbo laini
Hatujambo uko poaHamjamboooooo humuuuu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Jamani eeh! Shedede kapotea. Sasa Husna utamsubiri mpaka lini? Wakati mijibaba tena ya nguvu tupo hapa? Shunie rekebisha mambo please ili Shimba na Husna IKIWEZEKANA wawe couple mpya hapa Makapuku. Husna (jina zuri hili!) unasemaje?![]()
Namuona hapo Silva "The Spider" siku alipovunjika mguu hivi hivi kimchezo mchezo.7/Boxing![]()
![]()
Hapa tunaongelea ndondi za kawaida pamoja na n ickboxing
Juzijuzi tu zimepigwa ngumi za kufa mtu kati ya Anthony Joshua na Vladimir Klitschko's ambapo tulishuhudia ngumi nzito kama mawe
Pia sio muda mrefu mdogo wa Matumla alizimia uwanjani baada ya kupigwa ngumu ya kichwani
Hapa wengi hupata madhara ya muda mrefu au mfupi
Mfano inasadikiwa Muhammad Alli baada ya kustaafu ngumi alipata ugonjwa uliotokana na madhara ya kupigana ndondi ambazo ziliathiri sehemu ya ubongo
Ila hawa jamaa huvuta mkwanja mrefu si mnamkumbuka yule mswahili Floyd Mayweather Jr
.......
[emoji109] [emoji109]Afadhali aisee
Miaka ndio tofautiTofauti yao n dakika mbili ila miaka miwili tofauti
[emoji23] bokongo butu na moyiNataka ucheke
teh teh akaona kanipatia mwenyewe me namchabo tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio ulichoambua ee
Get well soon majeruhi![]()
![]()
![]()
Mawe yanaanguka huko Lushoto eneo LA vugha road yamedondokea gari majeruhi wamekimbizwa hospital
lushoto kwetu Mungu asaidie [emoji120]
unanianza sasa, mambo ya kukimbilia polisi hakunaMfyuuuu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
KweliMchezo yote watu hufanya mazoezi ila ajali ni ajali
........
NichagulieEbu chagua basi kati ya shedede au binamu obe