Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Ndio nilikuwa namwambia kuwa simtaki ila atakuwa kaka yangu tu coz ni muha mwenzangusasa shangazi ushakua wa binamu obe mambo ya kilugha na mondray hatutakiii
Ndio nilikuwa namwambia kuwa simtaki ila atakuwa kaka yangu tu coz ni muha mwenzangusasa shangazi ushakua wa binamu obe mambo ya kilugha na mondray hatutakiii
hali ya hewa nzuri sanaMimi nimespma na kukaa Dochi na Sinza kule muda mrefu tu na nilikuwa naenda kucheza mpira kule SEKOMU
Lushoto kuna hali ya hewa safi ila barabara ni hatari Hulu kilima chini korongo
Pia mademu wa Lushoto wazuri weupe na wakarimu
Mara mojamoja narudigi tu kujifurahisha
..........
Ni kweli kunyonyesha na mtoto kulia ni njia asili nzuri tu ya uzazi wa mpango,jaribu kutafakari mtoto wko mchanga analia utawaza chochote zaidi ya kumbembeleza anyamaze alale![]()
![]()
![]()
![]()
hiyo kAli aisee
Oooh hapo sawa yy aendelee na wengine ww ni wa binamu obe sasa hiviNdio nilikuwa namwambia kuwa simtaki ila atakuwa kaka yangu tu coz ni muha mwenzangu
ikifika chini hiyo pikipiki ndio utajua kwanini beki 3 halipi kodi
Hahahhh atakujaAkuje tu achukue mwali wake
Msambaa? Mimi? Hata Tanga sijawahi fika. Nasikiaga tu mara waja leo waondoka leo na mambo kama hayo. Molla akijalia siku moja nitafika. Kutembelea mikoa yote ya Tanzania (na sehemu mashuhuri kihstoria), mabara yote na the 7 wonders of the World imo katika bucket list yangu...




Umeambiwa utulie bado unachombeza hku
Hiyo ya kunyonyesha nitaitumia mm kama njia ya uzazi wangu wa mpangoNi kweli kunyonyesha na mtoto kulia ni njia asili nzuri tu ya uzazi wa mpango,jaribu kutafakari mtoto wko mchanga analia utawaza chochote zaidi ya kumbembeleza anyamaze alale
Sawa dear nimeona nikwambie,mdomo huumba ,tunajibariki na kujilaani wenyewe Mungu akusaidie ulichoongea kisitokeeMmh![]()
mama mchuchu jamaan nisamehe si unajua humu utani mwingi mama angu
Sawa mama mchuchuSawa dear nimeona nikwambie,mdomo huumba ,tunajibariki na kujilaani wenyewe Mungu akusaidie ulichoongea kisitokee

Naomba mkazo uwekwe kwenye hiyo sentensi ya mwisho. Ova!Mimi nimespma na kukaa Dochi na Sinza kule muda mrefu tu na nilikuwa naenda kucheza mpira kule SEKOMU
Lushoto kuna hali ya hewa safi ila barabara ni hatari Hulu kilima chini korongo
Pia mademu wa Lushoto wazuri weupe na wakarimu
Mara mojamoja narudigi tu kujifurahisha
..........
Hata nkiwa nao haukuhusuTuliza boli acha kiherehere kwenye mambo ya watu. Msambwanda unao?
Haunihusu cho chote. Nilikuwa namkanya tu kwa sababu inaonekana kanishupalia kweli kweli. Nilikuwa namsaidia kutua mzigo alionao!Mke wa shululu huyo msambwanda unakuhusu nini
Toto weupeeeeNaomba mkazo uwekwe kwenye hiyo sentensi ya mwisho. Ova!

hahahhhhHaunihusu cho chote. Nilikuwa namkanya tu kwa sababu inaonekana kanishupalia kweli kweli. Nilikuwa namsaidia kutua mzigo alionao!