Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,900
bora hiyo ajali ya nguo aisee4/Gymnastic![]()
![]()
![]()
Huu nao ni hatari pindi mtu anapokesea mahesabu huweza kuvunjika vibaya
Pia wakati wa kuruka juu unaweza kuzidisha kipimo au kupunguza sasa utajikuta unaangukia sehemu isiyo na godoro na hapo lazima uvunjike au pengine kufa
Pia kuna ajali za nguo kuchanika hivyo kujikuta unakaa uchi mbele za watu/kamera
........

