Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Iliniumiza sana na haijawahi nitoka kichwani ile kumbukumbu....nami niliiangalia mechi ile, tragedy.
Foe alikuwa kiuongo mahiri sana na baada ya michuano ile angecheza soka ndani ya klabu kubwa kabisa duniani Bitoz

Makhabaa toto zuriKamoo

Muone rudisha salamu yanguuuMakhabaa toto zuri![]()
Muziki ni Furaha
Maisha ni kuyafurahia katika mwanga bora, msemo huu unaweza kuwa na maana pana kati ya mtu na mtu, hali na hali na mazingira. kwa upande wetu Makapuku, muziki ni furaha inaweza maanisha hata kama wanadamu tuna mahitaji yaso kikomo (unlimited wants) basi tuna kiasi. Kifupi tunaridhika na hatuchoki kutafuta furaha yetu.
Turudi kwenye kipengele chetu cha 'utamu wa gitaa', karibu.
Wanasema Mungu anapenda muziki na hasa anapenda sauti za gitaa na ndiyo maana akamuumba Jimi Hendrix. Inawezekana humjui maana umezaliwa kwenye kizazi cha Rap, Hip hop na R&B na hujisumbui kusaka ladha nyingine za muziki.
Jimi Hendrix baadhi ya wafuatiliji wa wadonoa gitaa wanasema kuwa hajapata kutokea kama Jimi, nami kwa uchanga wangu nakiri japo si mpenzi wa muziki wa Rock nimeona clip zake na nakiri jamaa anajua kulidonoa gitaa kwa 'vurugu' kama Edi Lunyamila enzi zake na taifa Starz.
Jimi njapo hajadumu sana kwenye muziki na alitoweka duniani sababu ya matumizi mabaya ya madawa na ulevi anabaki kuwa ni alama kubwa ya upigaji gitaa katika karne ya 20 na anaheshimika vilivyo kiasi cha kuendelea kushinda tuzo za kimataifa tangu miaka ya 2000.
Alitia fora pale alipopewa gitaa la nyuzi 12 na kiukweli gitaa liliongea, huhitaji usikie maneno, sikiza gitaa na utapata furaha ya muziki.
Hapa tumuangalie akicharaza gitaa la nyuzi 12 , FYI: Unamkumbuka Muddy Waters? Alimfanya Jimi alipende gitaa
Nukuu: Pindi nguvu ya Upendo itakapotawala Upendo wa nguvu, dunia itaijua Amani'

HAKIKATuko tofauti tofauti ati! Na thamani yetu imo katika utofauti huu. Sote tungekuwa kama mzeewakungoa LIFE WOULD BE BORIIIIING![]()
Kuna jambo linakua haliko sawa,katika unyonyeshaji inahitaji ufuatiliaji wa karibu na makubaliano ya wenzaWengine wananyonyesha na hawamalizi hata three month!!!
Unataka kuniambia mkulu SIO strong??? .....Mh!!!???

Muone rudisha salamu yanguuu
unataka kukosa mume???I mean wanaanza mzunguko yao.Kuna jambo linakua haliko sawa,katika unyonyeshaji inahitaji ufuatiliaji wa karibu na makubaliano ya wenza
HakikaHello!
Naamini mko salama humu...

Kisa cha kumkosa?unataka kukosa mume???
Muziki ni Furaha
Maisha ni kuyafurahia katika mwanga bora, msemo huu unaweza kuwa na maana pana kati ya mtu na mtu, hali na hali na mazingira. kwa upande wetu Makapuku, muziki ni furaha inaweza maanisha hata kama wanadamu tuna mahitaji yaso kikomo (unlimited wants) basi tuna kiasi. Kifupi tunaridhika na hatuchoki kutafuta furaha yetu.
Turudi kwenye kipengele chetu cha 'utamu wa gitaa', karibu.
Wanasema Mungu anapenda muziki na hasa anapenda sauti za gitaa na ndiyo maana akamuumba Jimi Hendrix. Inawezekana humjui maana umezaliwa kwenye kizazi cha Rap, Hip hop na R&B na hujisumbui kusaka ladha nyingine za muziki.
Jimi Hendrix baadhi ya wafuatiliji wa wadonoa gitaa wanasema kuwa hajapata kutokea kama Jimi, nami kwa uchanga wangu nakiri japo si mpenzi wa muziki wa Rock nimeona clip zake na nakiri jamaa anajua kulidonoa gitaa kwa 'vurugu' kama Edi Lunyamila enzi zake na taifa Starz.
Jimi njapo hajadumu sana kwenye muziki na alitoweka duniani sababu ya matumizi mabaya ya madawa na ulevi anabaki kuwa ni alama kubwa ya upigaji gitaa katika karne ya 20 na anaheshimika vilivyo kiasi cha kuendelea kushinda tuzo za kimataifa tangu miaka ya 2000.
Alitia fora pale alipopewa gitaa la nyuzi 12 na kiukweli gitaa liliongea, huhitaji usikie maneno, sikiza gitaa na utapata furaha ya muziki.
Hapa tumuangalie akicharaza gitaa la nyuzi 12 , FYI: Unamkumbuka Muddy Waters? Alimfanya Jimi alipende gitaa
Nukuu: Pindi nguvu ya Upendo itakapotawala Upendo wa nguvu, dunia itaijua Amani'

Salama sana THello!
Naamini mko salama humu...
Vale hujamboSalama sana T
Mimi sijamaanisha hivyoUnataka kuniambia mkulu SIO strong??? .....Mh!!!???![]()
![]()