Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Kwani na ww unatakanaona unagawa majimbo kama njugu
cc: snipes
Kwani na ww unatakanaona unagawa majimbo kama njugu
cc: snipes
Ni kweliMkuu nimeishi kule miaka mitatu hivyo tayari nina "mali zangu" hivyo narudi mara mojamoja
Watoto wa kule kiukweli wapo poa
......
Kwahiyo usimkwaze binamu yanguMasikini weee![]()
![]()
![]()
Mmhhome sweet home 😉
Aiseee2/Bull riding![]()
![]()
Mchezo huu wa kucheza na ng'ombe dume ni hatari
Hawa ni ng'ombe walioshiba wa miraba mine sio wale njaanjaa wa Chato na Kolomije
Ilitokea ajali mfano ya kukanyagwa unaweza kujikuta unajinyea kabisa,kuvunjika mbavu pamoja na kupasuka kiungo vya ndani
Wengi hufia hospitali wakipatiwa matibabu
Pia kipindi kingine ng'ombe hupandisha kichaa na kuanza kujeruhi mashabiki
.........
Michezo inatisha asante Bitoz kwa top 101/Horseback Riding![]()
![]()
![]()
Huu mchezo ukiuangalia unaweza kuuchukulia poa lakini nenda kajaribu kuucheza
Mara nyingi ajali zake zina risk kubwa mfano kukanyagwa na farasi I,kuangukia kichwa n.k
.
.
.
.
Ahsanteni kwa kufuatilia mada
Tukutane kesho
Mwisho
.........
Mh!?!!!Ni kweli
Muziki ni Furaha
Maisha ni kuyafurahia katika mwanga bora, msemo huu unaweza kuwa na maana pana kati ya mtu na mtu, hali na hali na mazingira. kwa upande wetu Makapuku, muziki ni furaha inaweza maanisha hata kama wanadamu tuna mahitaji yaso kikomo (unlimited wants) basi tuna kiasi. Kifupi tunaridhika na hatuchoki kutafuta furaha yetu.
Turudi kwenye kipengele chetu cha 'utamu wa gitaa', karibu.
Wanasema Mungu anapenda muziki na hasa anapenda sauti za gitaa na ndiyo maana akamuumba Jimi Hendrix. Inawezekana humjui maana umezaliwa kwenye kizazi cha Rap, Hip hop na R&B na hujisumbui kusaka ladha nyingine za muziki.
Jimi Hendrix baadhi ya wafuatiliji wa wadonoa gitaa wanasema kuwa hajapata kutokea kama Jimi, nami kwa uchanga wangu nakiri japo si mpenzi wa muziki wa Rock nimeona clip zake na nakiri jamaa anajua kulidonoa gitaa kwa 'vurugu' kama Edi Lunyamila enzi zake na taifa Starz.
Jimi njapo hajadumu sana kwenye muziki na alitoweka duniani sababu ya matumizi mabaya ya madawa na ulevi anabaki kuwa ni alama kubwa ya upigaji gitaa katika karne ya 20 na anaheshimika vilivyo kiasi cha kuendelea kushinda tuzo za kimataifa tangu miaka ya 2000.
Alitia fora pale alipopewa gitaa la nyuzi 12 na kiukweli gitaa liliongea, huhitaji usikie maneno, sikiza gitaa na utapata furaha ya muziki.
Hapa tumuangalie akicharaza gitaa la nyuzi 12 , FYI: Unamkumbuka Muddy Waters? Alimfanya Jimi alipende gitaa
Nukuu: Pindi nguvu ya Upendo itakapotawala Upendo wa nguvu, dunia itaijua Amani'
Jambo mimiVale hujambo
hawamalizi ukimaanisha wanapata mimba auWengine wananyonyesha na hawamalizi hata three month!!!
AmeenMungu aingilie kati maporoko yakome katika jina la Yesu,majeruhi Mungu awape uponyaji ,pole kwa ndugu jamaa wote kwa shida hii,Mungu wetu ni wa huruma atasitisha dhoruba na kutakua salama![]()
mama mchuchu
InawezekanaZitakuwa no zao za bahati zinafanana
Mama natamani uongezee nyama kidogo jamaanKuna jambo linakua haliko sawa,katika unyonyeshaji inahitaji ufuatiliaji wa karibu na makubaliano ya wenza
MfyuuuuuMh!?!!!
MfyuuuuuuuuuuuhMfyuuuuu
UzeeKisa cha kumkosa?
