dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,829
- 20,335
asante hilo jina lako la mkwara kwelDingi ni ajee...!
Huku hakuna kufukuzwa...! Karibuni
asante hilo jina lako la mkwara kwelDingi ni ajee...!
Huku hakuna kufukuzwa...! Karibuni
Demu wangu wa kwanzaaaa!Eb tudokeze hiko kisa bas
Ndio hivyo aseewacha bana
Karibu Kapukuwacha bana
HahahaaaaNikikwambia acha konyagi hutaki
Acha ulevi baba
Ushaanza ku lose something
Endelea bas nini nusu nusuDemu wangu wa kwanzaaaa!
Alitoka muheza...! Aliitwa V..
Aisee...huyo mtoto alikuwa ni kisuu blaa..ila nilipendaga lips zake na macho tuu [emoji23][emoji23]
Asiwe Valentina nitaua hapa..Demu wangu wa kwanzaaaa!
Alitoka muheza...! Aliitwa V..
Aisee...huyo mtoto alikuwa ni kisuu blaa..ila nilipendaga lips zake na macho tuu [emoji23][emoji23]
wap hiyo captainNdio hivyo asee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asiwe Valentina nitaua hapa..
Niaje José Gwajima..Hahah usiwaze jombaa huku raia tunaelewana kinoma
hmm bro..!! sio kwa pigo hizo[emoji276]Karibu Kapuku
Dogo dingi..
Pande za Moshi manwap hiyo captain
Hahaha Gwajima tena?? [emoji125][emoji125]Niaje José Gwajima..
Ooi!Endelea bas nini nusu nusu
jiji safi hilo ila sijui hii sifa kama bado mnayoPande za Moshi man
Not valentine..!Asiwe Valentina nitaua hapa..
Haya basi Dingidongohmm bro..!! sio kwa pigo hizo[emoji276]