Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,900
Kwendraaaaaa

Kwendraaaaaa

Nimeshatulia Bi. mkubwa. Naona una adikisheni na mimi leo. Kila ninachoweka lazima ujibuUmeambiwa utulie bado unachombeza hku



sasa shangazi ushakua wa binamu obe mambo ya kilugha na mondray hatutakiii

naona unagawa majimbo kama njuguEbu chagua basi kati ya shedede au binamu obe
Sawa mama. Na siyo kila msambwanda huparamiwa. Can I breath now?Hata nkiwa nao haukuhusu
OK my AntiBinamu obe nishakuchagulia sasa hivi ww ni shangazi yetu mm na lee
Sina mzigo wowote ila nlikuwa narefer maelezo yko juu ya unataka ke wa aina gan ,sorry kama nmekukwazaHaunihusu cho chote. Nilikuwa namkanya tu kwa sababu inaonekana kanishupalia kweli kweli. Nilikuwa namsaidia kutua mzigo alionao!
Mama mbarikiwa umefurai nn?!
Ni hatari waya zikikatika .huku kwetu zimeua sana so wakati wa mvua wanakata mi huwa naona afadhali wazimeHawafanyi vizuri
Mkuu nimeishi kule miaka mitatu hivyo tayari nina "mali zangu" hivyo narudi mara mojamojaNaomba mkazo uwekwe kwenye hiyo sentensi ya mwisho. Ova!
ikifika chini hiyo pikipiki ndio utajua kwanini beki 3 halipi kodi

Nimeshatulia Bi. mkubwa. Naona una adikisheni na mimi leo. Kila ninachoweka lazima ujibu![]()

Ni kweliWamepishana kama dakika tatu kuzaliwa inamaana usiku wa saa tano na dk 59,ikifika saa sita usiku ni siku nyingine na tarehe nyingine mpya inawezekana,mpango wa Mungu
Masikini weeeHapana alikua anampenda mama mchuchu halaf mama mchuchu limoyo limemdondokea baba mchuchu

Nshakupata kamanda. You gotta do what you gotta do!Mkuu nimeishi kule miaka mitatu hivyo tayari nina "mali zangu" hivyo narudi mara mojamoja
Watoto wa kule kiukweli wapo poa
......
TawireeeOooh hapo sawa yy aendelee na wengine ww ni wa binamu obe sasa hivi