Makapuku Forum

Makapuku Forum

90c51024ba291326365b314439157dde.jpg
2e008fb083ccd0aef2dbd53314bbe754.jpg
f01aa0320b0665d357258e57bbf1dce2.jpg

Mawe yanaanguka huko Lushoto eneo LA vugha road yamedondokea gari majeruhi wamekimbizwa hospital

lushoto kwetu Mungu asaidie
Rock Slide. Ni hatari sana! Mungu Awasaidie majeruhi. Mother nature...
 
10/Motorcross
a45a743d7d1a1407d4ef1199f85699c6.jpg
f9e9217103590ee2082b7e14cb90fd1b.jpg

Haya ni maonyesho/mashindano au mbio pengine mchezo ya pikipiki kwenye barabara za vumbi au sehemu maalumu iliyotengenezwa mafuta/vilima
Sasa huu mchezo unaendesha pikipiki kwa spidi kubwa halafu ukifika kwenye kilima unarushwa juu pengine umbali wa futi 10 na hata 50 sasa hapo ukikosea mahesabu shauri yako
Pia mara nyingine pikipiki inapata hitilafu ya kiufundi
Ilitokea ajali watu huumia vibaya na hata kufa
...........
ikifika chini hiyo pikipiki ndio utajua kwanini beki 3 halipi kodi
 
5/Football
133b6c0c036ba4df9a5813d2ec5dcadd.jpg
910eadf036b463e81bedea83539e4fcb.jpg

Hapa tunaongelea mpira wa miguu wa Kimarekani(American football) pamoja na wa kawaida
Hapa watu hugonfana na kutumia vibaya au kuchezea na rafu za makusudi
ca35103e0f482ea2f359b895b5c98682.jpg
bc315ccb822ba82fb07264bfa6db8fc5.jpg
Hapa Eduardo Da Silva akichezea kwanja
b8e210aa9f45394ef5e9def4a779fc6c.jpg

Hapa Djibril Cisse akiwa kavunjika vibaya
8161af758a2b667ad0aaad625be9348d.jpg
4058c3e4a51706601b5fc11cd0c8a796.jpg

Wengine hudondoka uwanjani na kufariki kama Marc Vivien For mmoja kati kiungo box to box bora zaidi kuwahi kutokea ambaye hakuwa na mbwembwe km za Pogba yaani nywele fupi kipilipili tu
........
Rest in peace Marc Vivien Foe
 
90c51024ba291326365b314439157dde.jpg
2e008fb083ccd0aef2dbd53314bbe754.jpg
f01aa0320b0665d357258e57bbf1dce2.jpg

Mawe yanaanguka huko Lushoto eneo LA vugha road yamedondokea gari majeruhi wamekimbizwa hospital

lushoto kwetu Mungu asaidie
Mimi nimespma na kukaa Dochi na Sinza kule muda mrefu tu na nilikuwa naenda kucheza mpira kule SEKOMU
Lushoto kuna hali ya hewa safi ila barabara ni hatari Hulu kilima chini korongo
Pia mademu wa Lushoto wazuri weupe na wakarimu
Mara mojamoja narudigi tu kujifurahisha
..........
 
8/Wrestling
542aef1e2cc6c4856591d612985b27a9.jpg
5e2e006f123f135f26bce8ee5fce94a9.jpg

Huu mchezo ukiwaangalia akina John Cena,Hulk Horgan ,Machoman n.k utauona kama maigizo tu
Kuna mieleka ya aina nyingi pia ya ridhaa...hapa pia wanakutana madume ya soka mwendo wa kupogana vipepsi na makabali tu
Wengi huvunjika mifupa..pia inapotokea mtu kurushwa nje ya ulingo ni hatari
Pia ulingo unapowekewa sentence
Don't try this at home!!!!
..........
Kabisa usijaribu nyumbani
 
Msukuma kumbe upande msambaa shikamoo
Msambaa? Mimi? Hata Tanga sijawahi fika. Nasikiaga tu mara waja leo waondoka leo na mambo kama hayo. Molla akijalia siku moja nitafika. Kutembelea mikoa yote ya Tanzania (na sehemu mashuhuri kihistoria), mabara yote na the 7 wonders of the World imo katika bucket list yangu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom