Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Mmh [emoji134] [emoji134] mama mchuchu jamaan nisamehe si unajua humu utani mwingi mama anguMdomo unaumba acha kujitamkia mambo yasiyo kweli,yakitokea utaomba nikuombee,siku utashtukia transfer from masaki to manzese kambi ya fisi.
Hizi fake ID 's zinatufanya tutamke mengiiiii, Mungu atusaidie tupone[emoji120]
Hebu sikiza khs ULIMI
[emoji524] YAKOBO 3
9.Kwa huo twsmhimidi Mungu Baba yetu ,na kws huo twalaani wanadamu waliofanywa kws mfano wa Mungu.
10.katika kinywa kilekile kwatoka baraka na laana
Hebu tujitabirie mema na mazuri,sisemi manzese ni pabaya lakini sifa ya uwanja wa fisi wote tumewahi isikia hivi kweli mpendwa wangu Shunie unapenda kuishi hapo,basi tafuta mahali pengine hatutakuja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]