Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
So?!Obe ako singo![]()
So?!Obe ako singo![]()
Michezo ya hatari sana9/Rugby![]()
![]()
Huu mchezo nao ni hatari
Kwa Afrika unachezwa zaidi wazungu Wa Afrika ya Kusini
Wachezaji wake ni mbavu nene maana kuna kukimbia,krruka na kusukumana hivyo wengi huumia mbavu,kuvunjika pia,kuzimia n.k
Ajali zake mbaya mara nyingi ni zile za kugongana ambazo wachezaji huzimia na hata kupoteza maisha
........
Kwani hupendi kumwelewesha asie elewaKhaaa mm maswali jaman sipendiyaan
Kesho atapatia![]()
umekosea kiduchu
That will do! Asante!Hii ni 10 tu
Hakuna martial arts kwenye hii list
Vipo vimichezo vya ovyoovyo tu
Ndondi zipo
......
Singomba we ulini wagole weshimugore wanje ulimo tse
ndakukunda chane ingo pm
Nataka ucheke![]()
![]()
![]()
ustake ncheke
9/Rugby![]()
![]()
Huu mchezo nao ni hatari
Kwa Afrika unachezwa zaidi wazungu Wa Afrika ya Kusini
Wachezaji wake ni mbavu nene maana kuna kukimbia,krruka na kusukumana hivyo wengi huumia mbavu,kuvunjika pia,kuzimia n.k
Ajali zake mbaya mara nyingi ni zile za kugongana ambazo wachezaji huzimia na hata kupoteza maisha
........

SawaAnaelewa sana
Soso def JamSo?!
Mh hiyo imewezkanaje?!Ni mapacha ila mwaka tofauti![]()
AmenNdaga Kyala
Da so sadinasikitisha sana mama kumtupa mwanae, ndio maana Mungu huwaweka hai mpaka ashuhudie mafanikio ya mwanae na kujutia kitendo alichokifanya hapo kabla.![]()
Kama ni nembo yenyewe zoazoa unategemea nini hapo![]()
![]()
Gari alilokabidhiwa Miss Tz
Limezidiwa hata na like Mr Bean Goes To Town
Ni aibu
![]()
![]()
![]()
.........