shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Umemehuku poa, ati umesema hujatoka leo kisa mvua + umeme hakuna??
Umemehuku poa, ati umesema hujatoka leo kisa mvua + umeme hakuna??
Asante, sasa nipoBora umekuja nlikumic kweli
Niaje shemelauwekaji wa magazeti
Mwagona kaka mwalamushaDada gwagona
Hekima zako zidumu mama mchungajiHii ni kweli kabisa ,tuwe waangalifu sana na mawasiliano,mahusiano na wanawake kimya kinaweza kuwa furaha au huzuni hata biblia imeandikwa so ni kanuni ya kibiblia ukiifuata hutapata tabu
1 PETRO 3
7 .Kadhalika enyi waume kaeni na wake zenu kwa akili na kumpa mke heshima.....
Shemela umeme umeme, ila nimeishaonana nayeshemela ni nini lkn mtto wa watu hana raha toka jana anakuulizia
Mungu ambariki sana ,na abariki kazi yake ifanikiweYou go girl![]()
![]()
tunamuombeaAsanteAiseee pole sana
Tanzagiza naelewa mkuuVumilia mkuu tuko tangazagiza wenzetu Tanzania
Kilingala-ekotoLugha za Kibantu. Zinashirikiana mizizi na misingi mikuu ya kisarufi yakiwemo mabadiliko ya Kifonolojia na Kimofolojia. Ukopaji wa maneno kutoka lugha zingine ili kukidhi mahitaji ya wazungumzaji ndiyo kidogo huchanganya lakini kama ni neno lenye asili ya Kibantu basi mzizi wake utakuwa ni ule ule haijalishi kama hiyo lugha inazungumzwa Afrika Kusini, Cameroon, Kongo au Koromije. Mfano tiririkeni hapa neno kiatu linavyotamkwa katika lugha zenu tuone:
Kikoromije = gi-latu/shi-latu/ji-latu
Kiswahili = ki-atu
Kinyamwezi = shi-latu
Kichaga =
Kindali =
Kilingala =
.....
Ndo mambo yko hayo msukumaMen will always be men! Yaani kama vile tumerogelezewa![]()
![]()
Mzee wa call me jhahahha unanifurahisha sana
Pole nadhani wanazima hizi mvua na miundombinu ya tanesco si mizuriNimeshapoa shem wane
TANESCO wanasumbua sana
All the time God is good
Kuwa makin shemu ucjesombwa na ww![]()
![]()
![]()
![]()
Aisee mtu kasombwa na mafuriko mpaka mtaa wa tatu tena chumbani kwa binti![]()
![]()
![]()
Kweli tuwe makini tusije kukumbwa
All the time God is good

Akiwa mke wangu ni sawa tu. Si nitakuwa nimemchagua mwenyewe? Maji ukiyavulia nguo ni lazima uyakoge hata kama ni ya moto/baridi balaa. Ndiyo maana kuna umuhimu wa kuyachunguza kwanza kabla hujaanza kuchojoa, siyo unachojoa tu kisa eti umeona maji na una hamu ya kukoga!
anaweza kuwa na mbwembwe huku lakini kwa mumewe ni MpoleeInawezekana akawa na boss wake Lee huko poriniJamani Shedede wapi? Kapewa mke hapa lakini kimyaaa! Ajabu hata mke naye kapotea. Au honeymoon imekolea? Shunie toa ufafanuzi please...
haya nimekuelewa, ntaweka kwa udhamini wa shuniinaijua unamweka rangi ipi bana rudisha converse
aisee poleniUmeme
Unatafutwa na baby wakoTanesco tangu jana saa 5 usiku walivyokata umeme mpaka sasa bado hajarudi na taarifa hamna
Jamani Shedede wapi? Kapewa mke hapa lakini kimyaaa! Ajabu hata mke naye kapotea. Au honeymoon imekolea? Shunie toa ufafanuzi please...
mmmh"