Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,900
ndukiiiiiWewe utakuwa na asili ya bahati mbaya na lugha za watu
ndukiiiiiWewe utakuwa na asili ya bahati mbaya na lugha za watu
Poamambo
safi tu, habari yakoZa mchana makapuku
Jambo sana, mvua sana mpaka nimeshindwa kwenda mjiniJambo kijana
My sweet nipo nimekuja, nani anakusumbuaPoa naendlea msubiri
My shululu hyo!Za mchana makapuku
uko poaaa
Safi, za pande hizosafi tu, habari yako
huku poa, ati umesema hujatoka leo kisa mvua + umeme hakuna??Safi, za pande hizo
Bora umekuja nlikumic kweliMy sweet nipo nimekuja, nani anakusumbua
Nko poa kwan na ww ni ndgu yke shululuuko poaaa
uwekaji wa magazetiUwekaji wa nini? Ni staili gani hiyo?
Gwijula kalumbuIkilatu
cc Mndali
hivi si huwa una sheria yako avatar ndani ya mwezi unabadili mbona hii imekaa sanaeeee bhana
Akiwa mke wangu ni sawa tu. Si nitakuwa nimemchagua mwenyewe? Maji ukiyavulia nguo ni lazima uyakoge hata kama ni ya moto/baridi balaa. Ndiyo maana kuna umuhimu wa kuyachunguza kwanza kabla hujaanza kuchojoa, siyo unachojoa tu kisa eti umeona maji na una hamu ya kukoga!




