Makapuku Forum

Makapuku Forum

You go girl [emoji122][emoji122][emoji122]
fe1d58d8dd83646af59bac3bbc9ceb3f.jpg
Iron lady

All the time God is good
 
Wanaume tuwe makini na hizi mvua zinazoendelea kunyesha. Kule Uganda zimeanza kuleta madhara makubwa na hata kuhatarisha ndoa.
dcb2e2ded6636331773e602c521f892c.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Aisee mtu kasombwa na mafuriko mpaka mtaa wa tatu tena chumbani kwa binti [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kweli tuwe makini tusije kukumbwa

All the time God is good
 
Hii ni kweli kabisa ,tuwe waangalifu sana na mawasiliano,mahusiano na wanawake kimya kinaweza kuwa furaha au huzuni hata biblia imeandikwa so ni kanuni ya kibiblia ukiifuata hutapata tabu

[emoji524] 1 PETRO 3

7 .Kadhalika enyi waume kaeni na wake zenu kwa akili na kumpa mke heshima.....
Hakika

All the time God is good
 
Back
Top Bottom