Makapuku Forum

Makapuku Forum

8b192cbb61a7f099f724af835b40b2d7.jpg
Mmmh kwahiyo hata mndengereko na mbena utamtofaitisha...mmh!haya
 
Watoto wanaonyonya vidole huwa ni wapole sana utotoni unaweza mlaza njaa maana wanajifariji sana,nina mtoto mmoja alinyonya vidole na mjukuu mmoja ananyonya ni wa kuwafuatilia sana kuhusu kula,kumbadilisha na kumpa faraja unaweza chukulia kashiba kumbe anajipa faraja na kunyonya.

Kumbe hata tembo...Mungu ni mkubwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom