Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,902
hahaha bado siku 2hivi si huwa una sheria yako avatar ndani ya mwezi unabadili mbona hii imekaa sana
hahaha bado siku 2hivi si huwa una sheria yako avatar ndani ya mwezi unabadili mbona hii imekaa sana
Pole yaoKuna kapuku huko Zanzibar? Ujumbe mzito laivu kutoka Koromije waja kutalii huko tena kwa kutumia ule usafiri maarufu kabisa huku kanda ya ziwa[emoji23][emoji23][emoji23]![]()
[emoji524] ZABURI 9
rudisha avatar zako za kitozihahaha bado siku 2
HAYO NDIO MAPENZI[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji123]
umekuwa msemaji wangu au?huyo shemeji yako pia yaan humu wanaume wote ni shemeji zako
I like thinking good things only not all memories,maana nyingine zinaumiza
True hata hawa wajukuu wengine hawana nimejaribu kugusa hapa[emoji23] [emoji23] [emoji120]
Nakumbuka mwaka mmoja siku ya watu duniani tulisherehekea mtoto wa bilioni sita[emoji2]
umechoka kupigiwa saluterudisha avatar zako za kitozi
nataka avatar ya converseumechoka kupigiwa salute
sio msemaji wako ila namwambia ajueumekuwa msemaji wangu au?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Malaika wanaona![]()
unaijua katuni ya panther wewe? ndio nextnataka avatar ya converse
Merci ChaplinKwa udhamini wa SHIMBA YA BUYENZE nimefikia tamati kwa leo.![]()
Tukutane kwenye ratiba ya michezo
me nakuchabo tusio msemaji wako ila namwambia ajue
naijua unamweka rangi ipi bana rudisha converseunaijua katuni ya panther wewe? ndio next
[emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji468]Kuna kapuku huko Zanzibar? Ujumbe mzito laivu kutoka Koromije waja kutalii huko tena kwa kutumia ule usafiri maarufu kabisa huku kanda ya ziwa[emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Shetani muongo sana,huyo baba anajitetea bila aibu,mafuriko yakupeleke straight kwenye kitanda cha mtu,tuwaombe sana wababaWanaume tuwe makini na hizi mvua zinazoendelea kunyesha. Kule Uganda zimeanza kuleta madhara makubwa na hata kuhatarisha ndoa.![]()
Post moja gazeti ishirini.Uwekaji wa nini? Ni staili gani hiyo?